Mbarali: Ng'ombe zaidi ya 400 ambao ni mali ya Wananchi kupigwa mnada leo

Lakini kwa nini huwa wanaingiza mifugo kwenye hifadhi wakaati walishaambiwa na kutangaziwa mara nyingi tu?
 
Hv sasa kila mtu afuge kwa kutunza mifugo yake nyumbani kwake ama shambani kwake. Hii habari ya kufuga kwa kuzurura na mifugo kwenye mashamba ya watu ama maeneo ya hifadhi umepitwa na wakati.


Mtalaumu watu, viongozi na serikali pasipo sababu. Dunia imebadilika nanyi badilikeni.

 
Walipe faini tu, wapewe ng'ombe zap
 
Wafugaji wabadilike namna ya ufugaji wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…