Tindo, njoo huko uwaone wenye uchungu na Nchi Yao!!Hiyo ndiyo INJILI halisi,
Anapohibiri watu waache RUSHWA, haishii kuwaambia waumini pekee, anawaambia wote Kweli yote Herode akiwemo.
Ukombozi wa Kweli Nchi hii, utaletwa na KANISA la Kweli.
Songa mbele Mchungaji MBARIKIWA!!!
Hawatakiwi kutafuta usuluhishi na yeye bali watafute usuluhishi kwa wananchi wanaowadhulumu in short wawasikilize.Ukiisikilza hiyi crip, ni vema ccm itatute upatanishi naye. maana maombi hayo si ya mchezo
Pastor hakutaja DP world Humo, hiyo DP world kwenye clip hiyo umeitoa wapi?Ulichoandika ni uchochezi usio na maana!
DP world inapingwa na wengi kuliko wanaoikubali, wewe unataka kuonesha huyo pastor ndiye pekee anayepinga!??
Pastor huyu ni mmoja kati ya mamilioni ya watanzania wanaopinga huo udhalimu
😄😄😄Unazingua mkuu 😂😂😂😂
✔️Msije sema hamkujua, ombeni reconcilliation naye maana si vema kuacha mtu afike viwango hivi.
Hebu msikilizeni na ombeni upatanishi naye, acheni kupaza shingo zenu, ni hayo tu :
-
Maombi makuu ya kuangusha mamlaka ya CCM. Malaika uliyemtia adabu farao pita CCM, Polisi, Serikalini
Mbogamboga kweny ubora wako!!Maombi ya Agano la Kale hayo Mungu wa Mbinguni hashughuliki nayo!
Huyo Mzee hakuna anachojua zaid ya praise and worship kwa CCM!! Mwambie hata Kristo hakuja kutangua torati bali kuitimiliza!! Huyo kashalewa maji ya bendera ya CCM!!Kumbe mungu anachagua maombi ? ni lazima upitie kwenye agano jipya ?
Naunga mkono maombi haya kwa 100%Msije sema hamkujua, ombeni reconcilliation naye maana si vema kuacha mtu afike viwango hivi.
Hebu msikilizeni na ombeni upatanishi naye, acheni kupaza shingo zenu, ni hayo tu :
-
Maombi makuu ya kuangusha mamlaka ya CCM. Malaika uliyemtia adabu farao pita CCM, Polisi, Serikalini
Fuse zimekatika huyo. Kabarikiwa na nani?Huyu mchg ni nani hasa ,nini kinampa kujiamini kiasi hicho, japo kujiamini ni jambo zuri kama unachookiamini una hakika nacho ,lakini nini kinamwaminisha ajiamini hivi?
Anaamini kuwa anasimamia HAKI na msimamia haki analindwa na nguvu ya MUNGU!Huyu mchg ni nani hasa ,nini kinampa kujiamini kiasi hicho, japo kujiamini ni jambo zuri kama unachookiamini una hakika nacho ,lakini nini kinamwaminisha ajiamini hivi?
NETWORK ITAKATIKA VIPI NA YEYE SIO MFUASI WA CCM?Fuse zimekatika huyo. Kabarikiwa na nani?
Wafuasi wake wanamfuata hata Mavazi wanamuiga wakidhani ni mzima kumbe network hazikamati. Mtu net zikikata huroppka lolote