Mbarikiwa Mwakipesile: Malaika uliyemtia adabu farao pita CCM, Polisi, Serikalini

Huyu mnyakyusa Huwa namuona ana stress tu thus wamemnyima usajili ndo siasa kali wenyewe hawa
 
Mtoa mada umejiunga lini au umetokea wapi?.

Tumekubaliana humu, ukiweka video toa na maelezo ya kile kilichomo au kinachoongelewa kwa muhtasari.

Siyo kila mtu ana_bundle la kuangalia sinema.
Unatumia free basics?
 
Mchungaji anadai anao ushahidi kuwa waliomuua Binti yake wa pekee ni hao anaowalaani!!!

Amegeuziwa kibao, hivi sasa ana kesi lukuki, daily yupo mahakamani.
Sasa ana interest gani au threat hadi wamuulie bintie Huwa.
Hawa wanyakyusa wa kyela Huwa ni shida
 
Maombi ya Agano la Kale hayo Mungu wa Mbinguni hashughuliki nayo!
Mungu alisema, Yeye habadiliki. Mungu wa Agano la Kale ni yuleyule wa Agano Jipya.

Malaki 3:6
[6]Kwa kuwa mimi, BWANA, sina kigeugeu; ndio maana ninyi hamkuangamizwa, enyi wana wa Yakobo.
For I am the LORD, I change not; therefore ye sons of Jacob are not consumed.
 
Viongozi mkiendelea kuziba masikio msisikie tukitakacho,

Tutawapeleka viongozi wetu wa kiimani watuongoze maana tunawaamini.

Wanasiasa mmezidi uongo,

Ni suala la muda tu.
 
Rabbon, Asante ndugu- leo nimefurahia sana post zako humu... ubarikiwe
Ubarikiwe pia,

Niliandika thread Jana kumhusu Mchungaji huyo ikafutwa,

Mimi ni mtumishi pia, nayajua madhara yanayoweza kupata Nchi ikiwa watumishi wa Mungu watabughudhiwa,

Wale ni mboni ya jicho la Mungu,

Watumishi wakishauri na kupuuzwa huingia ulingoni wenyewe,

Desmond tutu, Martin Luther, Much Msigwa, Askofu Gwajima nk nk ni mfano tu,

Na ni ngumu kuwazuia wakiamua hivyo. Maana kama wanapambana na majeshi ya shetani na kuyashinda, wakiingia ulingo wa siasa ni mserereko.

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen.
 
KANISA LA KWELI NA MCHUNGAJI MKWELI NI YULE ANAYEKEMEA MAOVU HADHARANI NA SIO KUFUNGAMAN NA VIONGOZI ILI KUPATA SHEKELI
 
Kuna clip analalamika mtoto wake kuuwawa
 
Wewe unadhibitisha ukichaa wake kama nani? Amekua mwimbaji wa mda wa nyimbo za injili miaka yote ,hamkuyasema aya leo kamua kuwatia laana na mwamwita kichaa

Iko hivi watu tumeanza funga kwa ajili yenu uyo ni mmoja tu ambae amejitokeza tu, na Mungu akiwatumia watu mnawaita vichaa subirini ni swala la mda tu mtaelewa kwamba Mungu sio binadam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…