gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,312
- 3,345
BBC nao wamechukuliwa hatua gani?
Ndio maana hizi chuki kwa watawala haziishi kwakua nchi sasa inaongozwa kama wanavyoongoza familia zao nyumbani.
Mnahangaika na watu ambao kuwapata ni tabu mnawaacha BBC ambao wanaofisi zao kuwapata ni rahisi.
Ninyi mmezoea kuonea watu.Mnatunga sheria zisizo tekelezeka ili mfunge watu.Hivi kwa mfano unatunga sheria kupata haja ndogo ni mara moja kwa siku utakua na lengo gani kama si kulazimisha watu wavunje sheria ili muwafunge.?Hii cyber crime act inafanana kabisa na mfano huu wa sheria zisizotekelezeka.
Naamini kwa sheria hii hata ile ya jiwe "basi baki na mavi yako nyumbani" kama ni raia wa kawaida tayari umevunja sheria na unafungwa.
Kwa haya mnayoyafanya hizi chuki hazitaisha