Nenda Ikulu ukimkosa uje utuambie, usisubiri tu kupewa ushahidi na wengine hata wewe unaweza kufanya.
Unaelewa kwamba ukienda Ikulu na kumkosa Magufuli hilo halithibitishi lolote?

Unaweza kufikiri kwa kutumia mantiki?
 
Kwa haki, hawatakiwi kumfunga kwa uzushi bila kuthibitisha kwamba alichosema ni uzushi.

Sasa wakisema kwamba habari kuwa Rais Magufuli anaumwa ni uzushi, inabidi wathibitishe kwamba haumwi.

Na kwa sasa hata kumuonesha live tu hawawezi.

Kwa nini?

Hizi habari kwamba Magufuli anaumwa ni uzushi tu ama kweli?
 
Ndio maana watu wanaombea kifo
Hajafa kafungua macho alfajirii baada ya kuwa amekata kauli toka tarehe 4/3 ina maana zaidi ya siku kumi kuwa kwenye machine hajitambui, haonekani kuwa timamu ....japo watalazimisha aanze kutoa maagizo ,kwenye nchi inayofuata katiba angehitaji miezi kadhaa ya kuangalia afya yake ....
 
Umezitoa wapi hizi
 
Wenye magazetiyaliyoandika kuwa Mbowe, Mrema na Sarungi wamekufa wameshakamatwa?
 
Hawa wahuni wote ni wa kuwapuuza tuu.
 
Jamaa ameonekana kanisani jana? Kuna yeyote alieona clip yake Jamaa akizungumza na waumini wenzake kanisani kama anavyofanya kila jumapili? Ok kama majibu ni hapana na hapana isiwe tabu.

Usipomuona mtu unaemjua au kumzoea kumuona mahali fulani, hakuna kosa kuuliza cha mno? Nasi tunasema nini cha mno hadi jamaaa anashindwa kufika kanisani au ametoka katika dini ya ukiristo?
 
Mkuu yatukute yapi!?yani kumuulizia mtu siku hizi imekuwa haramu..
unaulizia mtu unaambiwa yuko salama.badi huridhiki,unajua kiranga kikoje mkuu?

ndio hicho.
 
Bado hamjajibu swali
Rais Magufuli yuko wapi
Au kapotezwa kama Ben Saanane?
 
Raisi wetu nimzima kabsa Huyo kanjanja ataingia mkononi mwa serekali tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…