Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, hukohuko jamhuri ya ukenge twitan.Wanamtafutia wapi sasa,au kule tweeter?
Kumbe kuna kiongozi kafurahia.Tusishabikie Uovu. Hii kitu inaweza kuleta vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kiongozi mkuu wa chama unapofurahia mabaya kwa Rais wa nchi siyo jambo jema hata kidogo.kumbuka kuwa huyo unayemtabiria mabaya ana washabiki na wapenzi wa chama chake hata wasiyokuwa na chama.Angalia Burundi na Rwanda,Somalia, Iraq,libya etc.
Kwa hiyo mzee anacheza KOKBORERA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo kila litakapotukia jambo lenye utata watalisolve kwa kumficha mzee na mzee atakubali?
Basi TISS na huyo wanayemficha wote hawana akili.
Yaani unamaanisha amezimiaJamani mbona mnatuchanganya?. Mtu wangu wa karibu kitengo kanidokeza nisisumbuke na kuangaika na uvumi unaoendelea mtandaoni TISS wameamua kucheza na akili za watu kupotezea ishu ya mahindi kukataliwa Kenya.
Kigogo na Chahali ole wenu Jiwe azinduke
sasa kwa nini anajifichaNani kathibitisha ni mgonjwa??
Unamaamisha mawe yale makubwa kama ya kule Rock City au lile jiwe kuu walilokataa waashi?Hivi Jiwe yuko wapi?!
Bado anamsakaNgoja tuone kama atafanikiwa maana Waziri wake wa Zamani Kangi Lugola aliahidi kumkamata, lakini mpaka alipo tumbuliwa, hakufanikiwa.
Wanaweza Kubishana nao kwa Kiingereza?
Aljazera ndio wakamatwe kama wako serious kweli, wanaonea watu hata wao wenyewe wanajua ni mgonjwa.
Count down to grory..jamani...real pp hate me this much😭😭The clock is ticking tik tok!
We are desperately waiting for the most anticipated breaking news ever!
COUNT DOWN TO GLORY!
You’re disgraceful. Shouldn’t have quoted me. You’ve exposed you’re behinds. Ngombe kasoro mkia.Hakika bandiko lako limejaa dharau ya kitoto au kama ya mtu ambaye hakwenda shule.
Tuishi kwa kuheshimu taaluma za watu. Hata pale panapokuwa na makosa yasahihishwe kitaaluma na si vinginevyo.
Nikamatwe kwasababu gani sasa!Huyo si ndiyo aliyekamatwa subiri zamu yako aisee,hawa watu huwa wananikera sana kwa kukosa kazi za kufa na kukalia uzushi tu mitandaoni na kuleta taharuki.
Serikali nayo iko dhohofu kwakweli hivi watu kama hawa wanashindikana vipi kukamatwa?wanheiba kuku difenda zingejaa mjini kuwasaka
Vyombo vya habari ndivyo vimesambaza. Huyo ni “scape goat”Kamanda, tuwekee ushahidi basi kuthibitisha ili tuyaamini hayo usemayo, vinginevyo na wewe tutakuona ni mmoja wa waropokaji tu.
Hivi ukimkamata muuza gazeti mmoja ndiyo solution ya kuzuia habari zinazosambazwa na media? Hata hapa JF hakuna shida, kwasababu hii ni forum. Unajuwa maana ya “media”?hakuna kilio cha wengi mkuu.
kila mtu atalia kwa mguzo wake,wewe kapost ukijaaa utakula na wa kwenu.
haiwezi shikwa media,anashikwa mtu.Hivi ukimkamata muuza gazeti mmoja ndiyo solution ya kuzuia habari zinazosambazwa na media? Hata hapa JF hakuna shida, kwasababu hii ni forum. Unajuwa maana ya “media”?
Lissu ni VP wa mama S.Al Jazeera walipewa uongo na Lissu. Lissu akitua tu Keko
Labda wa amsterdamLissu ni VP wa mama S.