Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,713
- 3,559
Anajua anachofanya, wafwata mkumbo wanaingia chaka kupitia yeye.Wanamsaka wapi sasa? Kwenye mtandao au huku uraiani au popote pale?
Halafu, hivi yule E.Chahali ana akili timamu kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajua anachofanya, wafwata mkumbo wanaingia chaka kupitia yeye.Wanamsaka wapi sasa? Kwenye mtandao au huku uraiani au popote pale?
Halafu, hivi yule E.Chahali ana akili timamu kweli?
Tundu Lissu mbona hawamkamati?Waanze na kigogo
Kwani Mkuu unafahamu Jiwe yuko wapi ?Mwingine Chahali anatia aibu maafisa usalama wa Tanzania ya kuwa awapikwi vizuri kama anashindwa kuelewa hata heirachy of power serikalini.
Someone needs to tell that bozzo baada ya Magufuli mtu anaemfuata kwa power serikalini ni Dr Bashiru (kama katibu mkuu kiongozi) better still Dr Bashiru bado ajatoka rasmi kama katibu mkuu wa CCM.
Kwa maana hiyo hadithi yake ya uzushi aina mashiko hakuna mtu anaeweza panga mipango nje ya Dr Bashiru; labda raisi mwenyewe.
duuu!!hiyo lini?na aliishawahi mmwagia uji wa moto mpaka akalazwa.[emoji16][emoji16][emoji16]
hujaipata kutoka kwa kigogo na mange kimambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuu!!hiyo lini?
Kwa hiyo cyprian musiba aliyeandika kwenye magazeti yake Ni mtu wa mbowe?Mbowe alizushiwa na watu wake mwenyewe,maana sakata la kutofautiana wao kwa wao limeanza kitambo.limekuja kujishihieisha majuz kwenye teuzi za viti maalum.
iko hivi mkuu.kuna ofisi ya msemaji wa serikali na ofisi ya msemaji wa ikulu,hawa wasemaji wote wa ofisi hizi mbili,hutoa matamko ya Mambo ya kiseeikari ,ikiwemo viongozi wa serikari mwenywkiti wa chama hawezi kutolewa tamko na ofisi ya msemaji wa serikali,au ofisi ya msemaji wa ikulu mwenyekiti wa chama anaweza kupeleka malalamiko yake mahakamani au police.hata kama amezushiwa na watu wake wenyewe serikali ilibidi it tamko.tena ni gazeti la musiba ndo maana watu wanafurahi jiwe kufa ili kiburi Cha kina musiba kiishe
Ikiwa kweli je?Kigogo ni pimbi tu.
Hii si mara ya kwanza kam-wish namba 1 kifo...
Musiba ni mwananchi wa kawaida alishindwa nn kwenda kumfungulia mashtaka mahakamani,au wanasheria wa mbowe walishindwa nn kwenda kufungua mashtaka kwa niaba ya mteja wao!!??Kwa hiyo cyprian musiba aliyeandika kwenye magazeti yake Ni mtu wa mbowe?
Kumbe nikajua wana deals na uchumi zaidiNdo kazi ya TISS hiyo.
Kwani tunawalipa kwa ajili gani.
What's freedom of expression friend...telling a lie is also freedom of expression,. Spreading conflicting romours is also fred.of expression. Get the hell out r here...Features of dictatorship is controlling freedom of expression
Hawakai kinondoni hao I guessMkuu Ramadhani Kingai nikukumbushe siku chache zilizopita Mh. Mbowe na mwenzie walizushiwa kifo, acha huyo amezushiwa ugonjwa (wakati inawezekana kabisa kwamba ni mgonjwa kweli), sijui mmeshawashughulikia wahusika hao waliowazushia kina Mbowe kifo?.
mzee serikali ilitoa tamko kuhusu amber rutty ndo isitoe tamko kuhusu kiongozi mkuu wa upinzan??.mbaya zaidi huo uzushi umeandikwa na gazeti la ccm. Huo ni upumbavu na double standards za kijinga.ndo maana watu wanafurahi jiwe kufa wana sababu zao za msingi kabisaiko hivi mkuu.kuna ofisi ya msemaji wa serikali na ofisi ya msemaji wa ikulu,hawa wasemaji wote wa ofisi hizi mbili,hutoa matamko ya Mambo ya kiseeikari ,ikiwemo viongozi wa serikari.mwenywkiti wa chama hawezi kutolewa tamko na ofisi ya msemaji wa serikali,au ofisi ya msemaji wa ikulu.mwenyekiti wa chama anaweza kupeleka malalamiko yake mahakamani au police....
mzee usijifanye hujui musiba ni kibaraka wa magufuli.na jiwe ndo hivyo limekufa tutaona jeuri ataipata wapi nowMusiba ni mwananchi wa kawaida alishindwa nn kwenda kumfungulia mashtaka mahakamani,au wanasheria wa mbowe walishindwa nn kwenda kufungua mashtaka kwa niaba ya mteja wao!!??
Ziara ya waziri mkuu mbeya imeairishwa subiri keshoWazee wa connection vip!!?[emoji853][emoji847][emoji847][emoji847]
Didi zea ene niuz!!?
hiyo ilinipitahujaipata kutoka kwa kigogo na mange kimambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
New'snt it?Wazee wa connection vip!!?[emoji853][emoji847][emoji847][emoji847]
Didi zea ene niuz!!?
Hii mi serikali ya ajabu sana....!!BBC nao wamechukuliwa hatua gani?
Ndio maana hizi chuki kwa watawala haziishi kwakua nchi sasa inaongozwa kama wanavyoongoza familia zao nyumbani...