Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa
Wakuu mimi nimeweka mkeka kwa muhindi nimempa meko win potelea pote pesa inatafutwa.
 
Musiba anaingiaje hapa, mbona musiba hajawahi kuwa kwenye teuzi za Rais, unajua kabisa rais wetu sio mnafiki kama angekua anamkubali musiba angeshampa kitengo
Hicho kitengo kwenye magazeti yake ya propaganda wewe unadhani anafanya hivyo kwa jeuri ya nani, jaribu kutumia akili Mkuu usitumie MASABURI YAKO kupinga kila kitu.
 
Hicho kitengo kwenye magazeti yake ya propaganda wewe unadhani unafanya kwa jeuri ya nani, jaribu kutumia akili Mkuu usitumie MASABURI YAKO kupinga kila kitu.
Kwahiyo hapo unaona umetumia akili weee kunyamburisha hoja zako, acha ujuaji mwingi, mwenye akili hajitekenyi na akacheka
 
Kwahiyo hapo unaona umetumia akili weee kunyamburisha hoja zako, acha ujuaji mwingi, mwenye akili hajitekenyi na akacheka
Jibu hoja we kitimoto, hayo magazeti yanayo andika vifo vya viongozi wa upinzani waziwazi kwanini hayachukuliwa hatua na serikali yako uchwara?
 
Hii mi serikali ya ajabu sana....!!
Badala ya kutafuta suluhu ya tatizo wao wanaongeza tatizo jingine 1 au zaidi!!
Hivi kama MSEMAJI WA SERIKALI ANGEJITOKEZA MBELE YA MEDIA NA KUTOA UFAFANUZI JUU YA AFYA YA RAIS nani angeliendelea kupiga kelele??
Lakini kinachofanyika sasa ni kinyume kabisa!!! Kujaribu kuficha na kutishia watu wanaohoji Rais yuko wapi?
Watu wanahaki kujua rais wao yuko wapi,nakubaliana na ww,lakini wakipewa majibu si waelewe!! tatizo linakuja pale wachache wao ambao wamechezewa akili,kuanza kuropoka mara kif...mara ugnja,kitu ambacho si kweli.
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa.

Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita Kigogo katika mtandao wa Twitter, kwa tuhuma za kuzusha hofu na uongo kwamba Rais John Magufuli anaumwa.

View attachment 1724776

Anamuongezea folowa kigogo tu ,juzi alikuwa na 403K ,leo ana folowaz 409k.
 
Sisi sote niwagonjwa mzima ni mungu pekee navyo juwa mimi mzima atabaki milele lakini kilaatakae kufa nimgonjwa lakinipia hapa kunajambo tatizo nikusema fulani nimgonjwa anaumwa ugonjwa fulani wakati hujampima wewe wala haujatangaziwa nahisi hili nikosa lakini ukiweka fulani nimgonjwa tu maanayake nimfu wa wakati ujao anaekataa hatokufa aendelee kugomea kifo tuone ataishi miaka mingapi
😂😂😂 safi Sana jeshi la polisi
Huwa nafurahi sana wazushi wakinyakuliwa
 
Magereza yapo mengi tu nchini, mnaofikiri nafasi zimejaa mtasekwa ndani tu hakuna namna
Acha kelele subiria badae ndo upigemikelele kilio cha msiba wa "pipo dai ini dhe reki"
 
Freedom of expression sio kueneza uongo. Hata humu jf ukiweka post na kusema Mac melo anaumwa wakati haumwi unakula ban
Kwani kuna ugumu gani raisi kujitokeza hadharani akasema chochote?Huyu sio kiongozi wa familia ni kiongozi wa nchi.Mkija kuomba kura mikono nyuma mkisha iba kura mikono mbele.

Hii awamu public relations ni zero kabisa.

Ila tunajua mnaona aibu mnaogopa kuulizwa imekuawaje akaugua wakati nyungu,malimao na vitunguu swaumu +pilipili kichaa vipo!
 
Maajabu makubwa kabisa haya!

Amesambaza kwa kutumia media gani?

Hakuna weledi hapo. Waliosambaza ni wengine huyo wanamuonea tu ili waonekane wanapiga kazi. Mediocrely done.
Huyo si ndiyo aliyekamatwa subiri zamu yako aisee,hawa watu huwa wananikera sana kwa kukosa kazi za kufa na kukalia uzushi tu mitandaoni na kuleta taharuki.

Serikali nayo iko dhohofu kwakweli hivi watu kama hawa wanashindikana vipi kukamatwa?wanheiba kuku difenda zingejaa mjini kuwasaka
 
Back
Top Bottom