ndiyo, hii ni nchi yangu, ndio maaana nasema TCRA wawafichue wale wote walio husika na kushabikia uzushi, wakamatwe na hatua kali zichukuliwe dhidi yake, tena naomba safari hii kabla hawajafikishwa mbele ya mahakama waonyeshwe hadharani
Eti TCRA wawafichue, hizo ndoto kumbe mpaka leo unazo
 
Features of dictatorship is controlling freedom of expression
Ndiyo msambaze taarifa zenye taharuki, unajua ndugu wa mheshimiwa wangapi wana matatizo ya presha nk what if katika uvumi huo ikawapa presha na kuwapoteza kwa taarifa zisizo na ukweli, kwanin msikae kimya tu msuburi matamko ya serikali, halafu chuki hailipwi kwa chuki
 
Jeshi la polisi kamateni tu maana hawa vijana hawajifunzi pasipo shuruti
 
Na Jiwe asipoonekana to infinity,kesi itaendelea?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa si uende ukalizike?

Subiri 2025 litakugonga kisawa sawa
Huyo jamaa nadhani hajielewi humu kishawasilianaa na watu wengi kuhusu business, lakini hapo naona anatukana matusi yote bila sababu zozote. Hakuna justification ya kutukana.
Ngoja tuone pengine anaweza kuonewa huruma akaachwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…