Mbasha na Nabii Shillah ngoma nzito

Tena akiingia kanisan hakanyag chini, wapendwa wanamtandikia kanga nyeupe mtumishi akanyage, yule mbwa sijui anarogaga wapi, Ndele yake kiboko[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weeeh lol
 
Huyu shillah ana scandal chafu sana, sio utapeli tyuuh ni Gay, kadate na james delicious alimpa gari atembelee week 1 kampora tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Now anamla kijana m1 wa chuo CBE, kampangia appartment mbezi beach.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan futuhi tupu lol.
 
Waganga wangu hata whatsapp hawana, hawajui mambo ya insta wala JF , mi nikishaona mganga ako Whatsapp cna time nao, kwanza level yangu ya ushirikina mi hutibiwa na wachawi[emoji16]
Huwa nacheka unakuta mganga anakufata DM tsup anatoa promo za dawa zake, huwa nacheka sina mbavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila kiukwel kilichonishtusha nilipoanza kumfuatilia huyu nabii ni tendency yake ya kugawa hela kanisani, utadhan lil wyne yupo stejini ana-flaunt his dollars, hapo ndipo nilipomuhamisha chemba nyingine ya akili zangu. Afu kuna kipindi alitaka kugombea ubunge huku kwetu Ifakara ila anasema figisu figisu sijui nn akahama chama had kashindwa, ila baba ake ni RPC. Jamaa ana mambo mengi huyu!
 
Mhhhh kweli tapeli ila vingine mnajitungia.
 
Hivi kwanini walokole wakiwa wanasali kanisa fulani huwa wanamnyenyekea sana kiongozi wa dini, unakuta akipata hela anapeleka na unakuta yeye hana hata mia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mhhhh kweli tapeli ila vingine mnajitungia.
Unataka nikupe chimbo ili ukajionee? Au kwakua hatusemi hadi waanzishwe mada, tena huyo mtoto wa chuo ndo anajiweka wazi na kuringishia wenzie kuwa anatunzwa. Utayajua wapi haya na wee sio mfukunyuku.
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, acha wapigwe tu maana hakuna namna
 
Unataka nikupe chimbo ili ukajionee? Au kwakua hatusemi hadi waanzishwe mada, tena huyo mtoto wa chuo ndo anajiweka wazi na kuringishia wenzie kuwa anatunzwa. Utayajua wapi haya na wee sio mfukunyuku.


Kwanini asitembee na wanawake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…