Mbasha na Nabii Shillah ngoma nzito

Mbasha alikua na kitu cha kusimamia kimisimamo kabisa alianza kutoa ushahidi wa kutosha, na maneno mengi mengi juzi kati Mbasha ka post picha yupo na shila na kusema mambo yamekwisha hapo ndipo nilipomuona mbasha ni mtoto sana na ni kama anatafuta kiki za kijinga

Ila shila sijui inabii wake una akisi nini kwenye jamii sijawaji muelewa, ila unashangaa watu wanampekea sadaka za kutosha na magari pesa nk sasa mara kuna siku ingine anasema anagawa hela kwa waumiji elfu 10 kwa kila mmoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanini asitembee na wanawake?
Hilo ni suala lake binafsi mie swez kujibu, kuna chimbo 1 hivi lina gays hasa wanachuo, wanaringishiana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na hawa vigogo, vibosile, tena wanatambiana kweli kweli, wanapost appartments walizopangishiwa na gari wanazotembelea, na sehemu za starehe wanazojirusha, wanajiita "HIGH CLASSIC GAYS".
sasa tukisema tunaambiwa tunatunga lol.
 
Wewe ndio mbasha mwenyewe au wewe ni demu wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…