Mbatia achachamaa, ahoji Deni la Taifa limefikaje Tsh 71 trilioni? Ataka Serikali iombe radhi

Hizo pesa zingeenda kwenye uzalishaji tungekuwa mbali sana kimaendeleo
 
Siku hizi atusikii tena kina malasusa,gamanywa, shehe ahad wakiandaa makongamano yasiyoisha ya kumsifia shujaa wa Africa
 
U
Hapa kuna matilioni aliyotumia kununua wapinzani. Eti shujaa wa Africa,Shujaa wa Africa my ass
Umeona eh,mimi mwenyewe nashangaa shujaa wa Afrika kwa lipi???Kununua ndege??Kuua upinzani Tanzania??Kuua demokrasia Tanzania??
 
Tanzania siyo nchi masikini
 
Serikali iliyoendeshwa kwa propaganda , haya deni la tilioni 70 limeletwa na uchumi wa kati ,tunatumia hela zetu za ndani .
 
Deni bado stahimilivu, linalipika…. nchi hii ni tajiri.
 
Tena akamsifia sana na kumwita ikulu na kumtua mbeya kuua chadema
 
Mama kutoka Unguja hana roho mbaya, inabidi mwanasiasa aongee kwa sauti ya juu ili teuzi ziweze kupatikana.

Sifa kubwa ya mwanasiasa ni kuwa na nia mbili, ile inayojulikana kwa wote na ile inayojulikana moyoni tu.
 
Mbona mnashambulia mleta hoja badala ya hoja wewe unaonaje deni la ccm kutaka liwe deni la Taifa nisawa?
kwakweli hizo pesa zote zimeishia mifukoni mwa WanaCCM. Yeye anayekuja kulalamika ni miongoni mwa waliozifaidi. Anatuchora tu
 
mama Tanzania
Mama Tanzanua akili kisoda. Utawala wa kishetani wa Jiwe umelisaidia sana taifa kuemgua wanafiki na wazalendo wa kweli. Zamani Ilikuwa rahisi kuamini kwa maneno kuwa Slaa, Lipumba na Mbatia wanapigania maslahi ya taifa kumbe sio kweli. Nyakati zimethibitisha hilo.
 
Mama kutoka Unguja hana roho mbaya, inabidi mwanasiasa aongee kwa sauti ya juu ili teuzi ziweze kupatikana.

Sifa kubwa ya mwanasiasa ni kuwa na nia mbili, ile inayojulikana kwa wote na ile inayojulikana moyoni tu.
Laanatuarah Mbatia
 
Jiwe angefika 2025 deni lingekuwa trillion 189 kwa jinsi alivyokuwa amejipanga kuifanya Chato kuwa kitovu cha utalii Afrika
 
Jiwe kakopa zaidi ya 50pc ya hilo deni..

Propaganda zilipikwa zikapikika chini ya Jiwe.

Taifa lilipatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…