Hao walioanzisha vyama vingine waliishia wapi?Hiki ndio kitakuwa Chama kikuu cha upinzani kweli kweli. Weka humo Dkt slaa, Mwambukusi, Tundu Lissu, Luhaga Mpina, Msigwa, Babu Duni,
Wataelewana ? Kwani mafahari huwa wanakaaga pamoja?Hiki ndio kitakuwa Chama kikuu cha upinzani kweli kweli. Weka humo Dkt slaa, Mwambukusi, Tundu Lissu, Luhaga Mpina, Msigwa, Babu Duni,
Jitihada za kugawa kura za upinzani!!taarifa za chini ya capet ni kwamba,
taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama...
majibu ya msajili yatatoa uelekeo...
nyuma ya mpango huu,
viongozi waandamizi kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wanatajwa kuhusuka ikiwa ni pamoja na kutoka chama kikuu cha upinzani, act, lakini pia chama kutoka chama tawala, na vyama vingine vya kisiasa nchini...
Let's wait and see as we are approaching elections ahead π
Wana common interest, labda ndio maana watakaa pamoja kwa mudaWataelewana ? Kwani mafahari huwa wanakaaga pamoja?
Kwani nini cdm wasigawe kura za ccm?Jitihada za kugawa kura za upinzani!!
Watafanikiwa tu!
Kuanzisha chama ni tofauti na kufungua genge la kuuza nyanya. Huwezi kuanzisha chama Leo kesho kikawa successful.Hiki ndio kitakuwa Chama kikuu cha upinzani kweli kweli. Weka humo Dkt slaa, Mwambukusi, Tundu Lissu, Luhaga Mpina, Msigwa, Babu Duni,
Mkuu kipara kipya , umenikumbusha mbali sana kula mbakishie baba.Wacha wanzishe siasa za bongo ni sawa mchezo wa watoto kula mbakishie baba!
Hiki ndio kitakuwa Chama kikuu cha upinzani kweli kweli. Weka humo Dkt slaa, Mwambukusi, Tundu Lissu, Luhaga Mpina, Msigwa, Babu Duni,
VIjana wa buku mbili hawaijui hiyo michezo π πMkuu kipara kipya , umenikumbusha mbali sana kula mbakishie baba.
Kila ikikaribia kipindi cha uchaguzi tulishazoea huwa kunakuwagana hivo vibwengo
Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo.
Nyuma ya mpango huu, viongozi waandamizi kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wanatajwa kuhusuka ikiwa ni pamoja na kutoka chama kikuu cha upinzani, act, lakini pia chama kutoka chama tawala, na vyama vingine vya kisiasa nchini.
Let's wait and see as we are approaching elections ahead π
PIA SOMA
- Sarakasi za NCCR MAGEUZI: James Mbatia avuliwa Uanachama
- Msajili wa Vyama abariki Mbatia kufukuzwa NCCR Mageuzi
siyo cck tenaKaribu mbatia kwenye umoja paty
CCM Siyo Chama ni Shirikisho πChama ni kimoja tu hapa Nchini ambacho ni CCM .hivyo vingine ni vikundi tu vya watu kwa ajili ya usaka Tonge.