Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Mamilioni ya watanzania wenye akili Timamu na wanaojitambuaMamilioni ya watanzania au mamilioni ya kura fake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamilioni ya watanzania wenye akili Timamu na wanaojitambuaMamilioni ya watanzania au mamilioni ya kura fake?
Usiifananishe CCM na take magenge vile vikundi vingine vya udalali na utapeli wa kisiasa vinavyojiita vyama vya siasa. CCM Ni Chama Kiongozi barani Afrika.Ccm sio chama cha siasa, bali ni genge la Dola lililojivika koti la chama cha siasa.
Madalali wa bandari au.Usiifananishe CCM na take magenge vile vikundi vingine vya udalali na utapeli wa kisiasa vinavyojiita vyama vya siasa. CCM Ni Chama Kiongozi barani Afrika.
Kwani kuna mahali umekwenda ukakuta bandari imehamishwa ilipokuwepo awali?Madalali wa bandari au.
Tunashinda ya utitiri wa vyama au katiba mpya??
Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo.
Nyuma ya mpango huu, viongozi waandamizi kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wanatajwa kuhusuka ikiwa ni pamoja na kutoka chama kikuu cha upinzani, act, lakini pia chama kutoka chama tawala, na vyama vingine vya kisiasa nchini.
Let's wait and see as we are approaching elections ahead 🐒
PIA SOMA
- Sarakasi za NCCR MAGEUZI: James Mbatia avuliwa Uanachama
- Msajili wa Vyama abariki Mbatia kufukuzwa NCCR Mageuzi
Upuuzi mtupu this is purely myopivc thinkingHiki ndio kitakuwa Chama kikuu cha upinzani kweli kweli. Weka humo Dkt slaa, Mwambukusi, Tundu Lissu, Luhaga Mpina, Msigwa, Babu Duni,
Hiyo bandari tunajivunia location au mapato?Kwani kuna mahali umekwenda ukakuta bandari imehamishwa ilipokuwepo awali?
Kwani umeambiwa na kwenda TRA ukakuta bandari haichagii mapato ya aina yoyote ile?Hiyo bandari tunajivunia location au mapato?
and that is politics,Mwanzo ACT ilipewa nguvu ya fedha na genge la msoga gang, kwenye uchaguzi wa 2015 wakasimamisha wagombea nchi nzima. Alivyoingia Magufuli alikuwa hampendi Zito na genge la msoga gang akawapotezea. ACT walifaidika na mgogoro wa CUF.
Comred kuna vitu sio vya kuviongea. Kwa hiyo chama kinashindana na vikundi vya wasaka tonge?Chama ni kimoja tu hapa Nchini ambacho ni CCM .hivyo vingine ni vikundi tu vya watu kwa ajili ya usaka Tonge.
Vp unatakuwa mwnachama wake nini au unasubiria sera za chama 😄 mwananguhilo ni muhimu zaidi kulitazama kwa kina 🐒
young professionals and visionary politicians leaders, huwaga hatubabaiki bali kusaidia kutoa tahadhari za kisiasa, uelekeo na kuonyesha njia vijana ili tusonge mbele pamoja 🐒Vp unatakuwa mwnachama wake nini au unasubiria sera za chama 😄 mwanangu
Maana umetuahidi utagombea ubunge chama ndiyo hicho
Ova
Wana.mikakati watu wabaya sana! Yaani Mbatia alipokonywa CHAMA CHAKEkirahisi vile!
Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo.
Nyuma ya mpango huu, viongozi waandamizi kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wanatajwa kuhusuka ikiwa ni pamoja na kutoka chama kikuu cha upinzani, act, lakini pia chama kutoka chama tawala, na vyama vingine vya kisiasa nchini.
Let's wait and see as we are approaching elections ahead 🐒
PIA SOMA
- Sarakasi za NCCR MAGEUZI: James Mbatia avuliwa Uanachama
- Msajili wa Vyama abariki Mbatia kufukuzwa NCCR Mageuzi
Kama ina hayo mapato mwarabu mmempa kwanini?Kwani umeambiwa na kwenda TRA ukakuta bandari haichagii mapato ya aina yoyote ile?
Cdm wafaidike na ujio wa Lowassa akiwa na miezi miwili, kisha akiwa na miaka miwili asiwe na mchango wowote?! Uza ubongo huo 🌈and that is politics,
hata chadema na NLD walifadika na ujio wa hayati E. N Lowasa2015, Lakini pia wakafaidika kwa ACT ya zito kumtema Membe na kumuunga mkono mgombea urasi wa Chadema ambae pia ni puppet 🐒
miongoni mwa maombi mengi sana ,miongoni mwa vyama vingi vya siasa duniani ni kuombeana ajali ajali za kisiasa zitokee kwa wengine, huenda wao wakanufaika kwa namna moja ama nyingine 🐒
kutokuaminia, ubinafsi, uhasama, kutokupendana, kutokuungana ni ishara na dalili ya wazi kabisa ya kwamba adui yako muombee njaa 🐒
Lakini kitu muhimu zaidi kufahamu na kujua, kuendesha chama cha siasa requires a lot of money, man power potential organs and credible individuals to run it.....
But in elections,
there must be huge chain of money but also huge financial muscles.
Otherwise utalaumu kuibiwa kura maisha yako yote kisiasa 🐒
Hicho siyo chama ni genge...Chama ni kimoja tu hapa Nchini ambacho ni CCM .hivyo vingine ni vikundi tu vya watu kwa ajili ya usaka Tonge.
mim nakusaidia kukuongezea ufahamu na uelewa mpana zaidi juu ya mambo haya ya kisiasa, yawezekana umesahau au unajisahaulisha makusudi 🐒Cdm wafaidike na ujio wa Lowassa akiwa na miezi miwili, kisha akiwa na miaka miwili asiwe na mchango wowote?! Uza ubongo huo 🌈