Nikusaidie tu kuhusu Lowassa, cdm ndio chama kilichofanya Kazi ya kisiasa na kupandisha hamasa ya wananchi mara baada ya uchaguzi wa 2010-2015. Wakati wote cdm wakifanya hamasa hizo za kisiasa, Lowassa alikuwa ccm. Watu walijiandikisha kwa hamasa kubwa wakijua Lowassa angekuwa mgombea wa ccm Ili wamchinjie mbali kwenye uchaguzi, wakati huo ndio kitambulisho Cha kura kiliitwa kichinjio kwa ajili ya kumchinja Lowassa. Kwamba unaweza kuleta kura nyingi vile kwa kusema kipaombele ni elimu, elimu, elimu?! Kama kweli yeye ndio alileta zile kura akiwa na miezi miwili kabla ya uchaguzi, je alileta kura ngapi akiwa na miaka miwili? Nahitaji jibu la hili pls.
Hiyo kujiunga miaka 10+ nyuma ni kukuonyesha huna jipya la kunifundisha kwenye siasa. Naona unadhani hiki unachoongea ww hapa ndio SI Unit za ubora wa hoja, maana naona unaamini una content za kiwango Cha juu. Humu jukwaani Kila mmoja anaona content zake ndio zenyewe ili mradi havunji Sheria za jukwaa. Labda ningekuwa na ban, hapo ungeweza kujiona ww ndio una content. Hizo unazoona ni content kwako zinabeba hisia zako ww, kwangu hazibambi kabisa.
Kimsingi Sina siasa za kujipendekeza, kuogopa Wala za kinafiki, beleshi naita beleshi, sio kijiko kikubwa Cha kuchotea mchanga. Sijawahi kuwa na siasa za subra wa Kikondoo, ww kwakuwa ni muumini wa siasa za hadaa, unafiki, na kujikomba lazima uwe tofauti sana na mimi. Na tofauti yako na yangu ndio ladha yenyewe ya siasa, hutaki unaacha.