Tetesi: Mbatia kuanzisha chama kipya cha siasa

Huenda anaandaliwa kuvuruga uchaguzi ujao! Anataka kuunda branch nyingine ya Chama pendwa.
it might be, you never know πŸ’


becoz,
in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized and executed to achieve a certain political objectives πŸ’
 
ni mwendo wa kufukuzia ruzuku tu hawana lolote,
tena huyu ndo mtupu kabisa
 
Kiongoz Elli uliishaambiwa nchi hii imejaa watu wajinga sana huo niujumbe tosha usiumize kichwa!
usipoumiza kichwa chako, Lazima utaumizwa wewe sasa upende usipende labda sijui ukaishi sayari gani πŸ’

and by the way, this is publics politics and not family issues politics πŸ’
 
Sijawahi kuzielewa siasa za Bongo
taratibu tu utazielewa, ukizifiatilia kwa karibu bila kutegemea upande fulani wala kua na majibu au majawabu yako mfukoni juu ya masuala mbalimbali kwenye hizo siasa....

do it independently with free mind, you will understand it better πŸ’
 
Chama ni kimoja tu hapa Nchini ambacho ni CCM .hivyo vingine ni vikundi tu vya watu kwa ajili ya usaka Tonge.
CCM siyo chama cha siasa ni genge la wahuni na raia feki ...kwao uzalendo ni mafii ....Ibada yao ni kuwa tumikia mabeberu na waarabu
 
ma cha siasa ni genge la wahuni na raia feki ...kwao uzalendo ni mafii ....Ibada yao ni kuwa tumikia mabeberu na waarabu
CCM Ndio Tumaini la watanzania.ndio chama chenye uchungu na maisha ya watanzania.ndio maana kinaungwa mkono na mamilioni ya watanzania.
 
Wewe kweli ni zuxu ...ccm siyo chama cha siasa ni genge la wahuni na raia feki ...kwao uzalendo ni mafii ....Ibada yao ni kuwa tumikia mabeberu na waarabu
relax basi muungwana πŸ’

wewe Chama chako ni gani? usione aibu wala haya kukisema wazi na kukitetea kabla hujabeza kingine kisicho kuhusu πŸ’
 
Reactions: Tui
Chama ni kimoja tu hapa Nchini ambacho ni CCM .hivyo vingine ni vikundi tu vya watu kwa ajili ya usaka Tonge.
Ccm sio chama cha siasa, bali ni genge la Dola lililojivika koti la chama cha siasa.
 
Unless kitapata ufadhiri wa Abdul .... Chama siyo mchezo.

Hata ACT wameponea Nguvu ya Maalim Seif kutoka CUF....!!
Mwanzo ACT ilipewa nguvu ya fedha na genge la msoga gang, kwenye uchaguzi wa 2015 wakasimamisha wagombea nchi nzima. Alivyoingia Magufuli alikuwa hampendi Zito na genge la msoga gang akawapotezea. ACT walifaidika na mgogoro wa CUF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…