Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Hicho siyo chama ni genge...
Bila kubebwa na Dola (polisi, tume ya uchaguzi, nk) genge la ccm hawatoboi kokote
CCM Ndio Bima ya kila kitu katika nchi hii.Bila uwepo wa CCM madarakani nchi hii ingekuwa imesambaratika muda mrefu sana.Hicho siyo chama ni genge...
Bila kubebwa na Dola (polisi, tume ya uchaguzi, nk) genge la ccm hawatoboi kokote
sure,CCM Ndio Bima ya kila kitu katika nchi hii.Bila uwepo wa CCM madarakani nchi hii ingekuwa imesambaratika muda mrefu sana.
Yaani unanipa ufahamu kwa kaniambia cdm walifaidika na ujio wa Lowassa? Ama unadhani Sina ufahamu wa kiasi hicho? Tazama ww umejiunga lini hapa jukwaani na Mimi lini, kisha upitie michango yangu kwenye UGA wa kisiasa ndio ujue ni ww wa kunipa ufahamu ama la? Usichanganye propaganda na uhalisia ukaniletea mimi πmim nakusaidia kukuongezea ufahamu na uelewa mpana zaidi juu ya mambo haya ya kisiasa, yawezekana umesahau au unajisahaulisha makusudi π
ukishupaza shingo itavunjika na hasara utapata wewe mwenyewe, na wala si mimi mnyonge π
CCM ndio furaha, amani, ulinzi, utulivu na usalama wa waTanzania....
walifadika kwa kiasi kikubwa zaidi hususani kwenye kiwango cha kura za urais kutoka chini ya asilimia 20% wanazopataga tangu vyama vingi kuanzishwa humu nchini hadi zaidi ya asilimia 30% kwa mara ya kwanza uchaguzi mkuu 2015.Yaani unanipa ufahamu kwa kaniambia cdm walifaidika na ujio wa Lowassa? Ama unadhani Sina ufahamu wa kiasi hicho? Tazama ww umejiunga lini hapa jukwaani na Mimi lini, kisha upitie michango yangu kwenye UGA wa kisiasa ndio ujue ni ww wa kunipa ufahamu ama la? Usichanganye propaganda na uhalisia ukaniletea mimi π
those are errors and personal weakness among civil servant in different institutions. hata leo katika vyombo vya habari nimeona taarifa askofu wa kanisa fulani amejinyonga ofisini kwake.Kuna matukio ya utekaji serikali kimya
Kila wiki kuna utekaji vijana dar serikali kimya rais kimya tupeleke kesi ICCwww.jamiiforums.com Mkuu wa wilaya Kigamboni asema wanajeshi wanapiga na kuua wananchi
Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi. Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali anaituhumu Serikali yake mbele ya wananchi . Nadhani angefanya vile Mbunge au Diwani ndio ingekuwa...www.jamiiforums.com
Nikusaidie tu kuhusu Lowassa, cdm ndio chama kilichofanya Kazi ya kisiasa na kupandisha hamasa ya wananchi mara baada ya uchaguzi wa 2010-2015. Wakati wote cdm wakifanya hamasa hizo za kisiasa, Lowassa alikuwa ccm. Watu walijiandikisha kwa hamasa kubwa wakijua Lowassa angekuwa mgombea wa ccm Ili wamchinjie mbali kwenye uchaguzi, wakati huo ndio kitambulisho Cha kura kiliitwa kichinjio kwa ajili ya kumchinja Lowassa. Kwamba unaweza kuleta kura nyingi vile kwa kusema kipaombele ni elimu, elimu, elimu?! Kama kweli yeye ndio alileta zile kura akiwa na miezi miwili kabla ya uchaguzi, je alileta kura ngapi akiwa na miaka miwili? Nahitaji jibu la hili pls.walifadika kwa kiasi kikubwa zaidi hususani kwenye kiwango cha kura za urais kutoka chini ya asilimia 20% wanazopataga tangu vyama vingi kuanzishwa humu nchini hadi zaidi ya asilimia 30% kwa mara ya kwanza uchaguzi mkuu 2015.
Lakini hata kama wewe umejiunga mwaka2000 au 2024 what is your real contents? I think content matters more π
sasa upo humu miaka yote but unachojitahidi kukionyesha ni just mihemko na ghadhabu tu, sasa hiyo inasaidia nini for sure π
kama wewe kweli ni matured enough, kama wewe kweli ni disciplined party member, na real experienced gentleman huwezi kua na negativity kwenye vitu bayana kabisa as if ndio umejiunga leo humu JF π
au unajitofatisha na nini sasa na aliejiunga JF leo, kama wewe unajivunia ni wa kitambo humu but content, ustahimilivu, subra na utashi wa kisiasa kwenye mambo bayana kabisa ni zero π
siwezi kukuacha wewe upotee na wala siwezi kuacha siasa kamwe kamanda πNikusaidie tu kuhusu Lowassa, cdm ndio chama kilichofanya Kazi ya kisiasa na kupandisha hamasa ya wananchi mara baada ya uchaguzi wa 2010-2015. Wakati wote cdm wakifanya hamasa hizo za kisiasa, Lowassa alikuwa ccm. Watu walijiandikisha kwa hamasa kubwa wakijua Lowassa angekuwa mgombea wa ccm Ili wamchinjie mbali kwenye uchaguzi, wakati huo ndio kitambulisho Cha kura kiliitwa kichinjio kwa ajili ya kumchinja Lowassa. Kwamba unaweza kuleta kura nyingi vile kwa kusema kipaombele ni elimu, elimu, elimu?! Kama kweli yeye ndio alileta zile kura akiwa na miezi miwili kabla ya uchaguzi, je alileta kura ngapi akiwa na miaka miwili? Nahitaji jibu la hili pls.
Hiyo kujiunga miaka 10+ nyuma ni kukuonyesha huna jipya la kunifundisha kwenye siasa. Naona unadhani hiki unachoongea ww hapa ndio SI Unit za ubora wa hoja, maana naona unaamini una content za kiwango Cha juu. Humu jukwaani Kila mmoja anaona content zake ndio zenyewe ili mradi havunji Sheria za jukwaa. Labda ningekuwa na ban, hapo ungeweza kujiona ww ndio una content. Hizo unazoona ni content kwako zinabeba hisia zako ww, kwangu hazibambi kabisa.
Kimsingi Sina siasa za kujipendekeza, kuogopa Wala za kinafiki, beleshi naita beleshi, sio kijiko kikubwa Cha kuchotea mchanga. Sijawahi kuwa na siasa za subra wa Kikondoo, ww kwakuwa ni muumini wa siasa za hadaa, unafiki, na kujikomba lazima uwe tofauti sana na mimi. Na tofauti yako na yangu ndio ladha yenyewe ya siasa, hutaki unaacha.
Wewe naee....Chama ni kimoja tu hapa Nchini ambacho ni CCM .hivyo vingine ni vikundi tu vya watu kwa ajili ya usaka Tonge.
Ww baki na kizazi Cha zamani, kwa kizazi hiki utakuwa unajilisha upepo. Siasa za hadaa, uoga na kujikomba zimebaki kwenu mnaoamini amani ya nchi hii imeletwa na ule ushirikina uitwao mwenge. Hiki sio kizazi Cha kuabudu mwenge boss. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatatufikisha tunapotaka, sio kuburuzwa na majizi.siwezi kukuacha wewe upotee na wala siwezi kuacha siasa kamwe kamanda π
nitang'ang'ana na wewe na wengine walioathirika na negativity sendromes, ili hatimae kuwarejesha katika fikra na mstari sawa wa kiungwana na tusonge Mbele pamoja kuisukuma hii Tanzania inayoshamiri kwa maendeleo kila uchwao, chini ya mama huyu madhubuti sana ambae mimi, wewe na waTanzania wote tunampenda sana Comrade Dr Samia Suluhu Hassan π
ndio maana sitaki ujipendekeze na kua mercenary wa kibaraka ambae kwa kiasi ameathiri hata mwenendo na ustaarabu wa siasa zao, umekua mkali sana, mihemko na ghadhabu ndio usiseme, kitu ambacho kinasababisha unakata pumzi mapema na kujikuta saa zingine unaropoka maneno yasio faa π
ndio sasa najipanga,
nikija huko mjini ndio tupange appointment , na kuona namna vile tutakutana na tutafanya kazi kwa pamoja, ili hatimae mama Tanzania isonge kwa amani,au sio kamanda...
stay informed π
si nyie ndio mko huko na akina babu warioba na ulimwengu ambao eti wanajidai ni vijana wa kizazi kipya ati wanaunchungu na Tanganyika π€£Ww baki na kizazi Cha zamani, kwa kizazi hiki utakuwa unajilisha upepo. Siasa za hadaa, uoga na kujikomba zimebaki kwenu mnaoamini amani ya nchi hii imeletwa na ule ushirikina uitwao mwenge. Hiki sio kizazi Cha kuabudu mwenge boss. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatatufikisha tunapotaka, sio kuburuzwa na majizi.
Chama changu ni HAKI NA UZALENDO TU ...YOYOTE ALIYE MZALENDO NA MPENDA HAKI HUYO YU PAMOJA NAMIrelax basi muungwana π
wewe Chama chako ni gani? usione aibu wala haya kukisema wazi na kukitetea kabla hujabeza kingine kisicho kuhusu π
kumbe ni miongoni mwa members wa Chama kipya, hongera sana muungwana. umetumia haki yako ya kikatiba kikamilifu kabisa ππͺπChama changu ni HAKI NA UZALENDO TU ...YOYOTE ALIYE MZALENDO NA MPENDA HAKI HUYO YU PAMOJA NAMI
Shirikisho la mafisadi.CCM Siyo Chama ni Shirikisho π
Maalim Seif na Lowasa hawa watu walikuwa ni taasisi, kama huzijui nguvu zao basi huzielewi vizuri siasa za Tanzania.Nikusaidie tu kuhusu Lowassa, cdm ndio chama kilichofanya Kazi ya kisiasa na kupandisha hamasa ya wananchi mara baada ya uchaguzi wa 2010-2015. Wakati wote cdm wakifanya hamasa hizo za kisiasa, Lowassa alikuwa ccm. Watu walijiandikisha kwa hamasa kubwa wakijua Lowassa angekuwa mgombea wa ccm Ili wamchinjie mbali kwenye uchaguzi, wakati huo ndio kitambulisho Cha kura kiliitwa kichinjio kwa ajili ya kumchinja Lowassa. Kwamba unaweza kuleta kura nyingi vile kwa kusema kipaombele ni elimu, elimu, elimu?! Kama kweli yeye ndio alileta zile kura akiwa na miezi miwili kabla ya uchaguzi, je alileta kura ngapi akiwa na miaka miwili? Nahitaji jibu la hili pls.
Hiyo kujiunga miaka 10+ nyuma ni kukuonyesha huna jipya la kunifundisha kwenye siasa. Naona unadhani hiki unachoongea ww hapa ndio SI Unit za ubora wa hoja, maana naona unaamini una content za kiwango Cha juu. Humu jukwaani Kila mmoja anaona content zake ndio zenyewe ili mradi havunji Sheria za jukwaa. Labda ningekuwa na ban, hapo ungeweza kujiona ww ndio una content. Hizo unazoona ni content kwako zinabeba hisia zako ww, kwangu hazibambi kabisa.
Kimsingi Sina siasa za kujipendekeza, kuogopa Wala za kinafiki, beleshi naita beleshi, sio kijiko kikubwa Cha kuchotea mchanga. Sijawahi kuwa na siasa za subra wa Kikondoo, ww kwakuwa ni muumini wa siasa za hadaa, unafiki, na kujikomba lazima uwe tofauti sana na mimi. Na tofauti yako na yangu ndio ladha yenyewe ya siasa, hutaki unaacha.
Ni balaa na nusuHiki ndio kitakuwa Chama kikuu cha upinzani kweli kweli. Weka humo Dkt slaa, Mwambukusi, Tundu Lissu, Luhaga Mpina, Msigwa, Babu Duni,
Usiogope, tuliaHao walioanzisha vyama vingine waliishia wapi?