Mbatia: Tusiwekeze fedha zetu 125 bilioni kwenye uovu

Mbatia: Tusiwekeze fedha zetu 125 bilioni kwenye uovu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mbatia ametoa rai kwa Rais samia /serikali kuwa isiwekeze shiling 125 billioni kuimarisha uovu, badala yake iziweke kwenye kuendeleza maisha ya watanzania. Ametoa mfano, zikiwekezwa Muhimbili, zitatoa huduma bora kwa watu wake!

Serikali imetenga fedha hizo kununua silaha kudhibiti lolote katika kipindi cha chaguzi zijazo . Hii ni sambamba na kumteua mchengelwa kwa vile ana kifua kitumike katika tamisemi chaguzi za mwaka kesho....
 
Mbatia ametoa rai kwa Rais samia /serikali kuwa isiwekeze shiling 125 billioni kuimarisha uovu, badala yake iziweke kwenye kuendeleza maisha ya watanzania. Ametoa mfano, zikiwekezwa Muhimbili, zitatoa huduma bora kwa watu wake!
Kweli tupu, Polisi wapewe 125 billion za nini?
 
Wanaongelea vitisho vya kijinga na kuwatia taharuki raia.

Hawa wa kufinywa tu.
Na wewe utuambie hapa kwanza, ni kwa nini wakati wa utawala wa Rais Magufuli, ulikuwa unapinga kila kitu humu jukwaani, ila kwenye awamu hii kila kitu unasifia.
Siyo kweli, weka ushahidi.
 
Back
Top Bottom