Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Pamoja na kuwavimbisha matumbo ila bado mnaongeza silaha tu?Hizo hela ni ndogo Sana kuwashughulikia wanaosumbua serikali kufanya kazi ya kuwaletea maendeleo wananchi, polisi waongezewe fungu ili wawanyoshe kina mdudu.