Mbatia: Tusiwekeze fedha zetu 125 bilioni kwenye uovu

Mbatia: Tusiwekeze fedha zetu 125 bilioni kwenye uovu

Hizo hela ni ndogo Sana kuwashughulikia wanaosumbua serikali kufanya kazi ya kuwaletea maendeleo wananchi, polisi waongezewe fungu ili wawanyoshe kina mdudu.
Siku AGANO LENU LA MWEGE LIKIFA linalopumbaza Watz LIKIFA mtatafuta pa kukimbilia hamtapaona
 
Mbatia kwanza aseme kwanini wamefukuza NCCR Mageuzi?
Kwa hiyo kwa msg yako hii inafanya Mchengelwa kuwa sio mwenza wa mtoto wa Samia? Na je kwa comment yako hii inaondoa ukweli kuwa Abduli( mtoto wa Samia) wa kiume hakuiwakilisha Tanganyika huko Uganda kwenye mazungumzo ya nishati na Rais Mseveni? Je kwa comment yako hii tayari umehalalisha billion 125 zitumike kununua silaha kwa ajili ya uchaguzi?
 
Mbatia ametoa rai kwa Rais samia /serikali kuwa isiwekeze shiling 125 billioni kuimarisha uovu, badala yake iziweke kwenye kuendeleza maisha ya watanzania. Ametoa mfano, zikiwekezwa Muhimbili, zitatoa huduma bora kwa watu wake!

Serikali imetenga fedha hizo kununua silaha kudhibiti lolote katika kipindi cha chaguzi zijazo . Hii ni sambamba na kumteua mchengelwa kwa vile ana kifua kitumike katika tamisemi chaguzi za mwaka kesho....
ccm ni ziro brain, hizo pesa wangezielekeza kwenye katiba mpya
 
Tuseme ukweli: Hawa ndg zetu huwa ni weupe sna kichwani. Na ndio wamemzunguka wote Maza.
 
Back
Top Bottom