Mbatia: Tusiwekeze fedha zetu 125 bilioni kwenye uovu

Mwambieni rais aache matusi, Kila mtu ana kifua
 
Ni utaahira mkubwa sana kutumia mabilioni ya kodi zetu kununulia vifaa vya kudhuru walipa kodi badala ya kununua vifaa vya kuokoa maisha ya watu wakati wa maafa.Tumeona mara kadhaa yanapotokea maafa kama ajali za moto au za majini mamia ya watu wetu wakipoteza maisha kwa kukosa zana sahihi za kuwaokoa,mf. MV Bukoba na nyinginezo. Kama kweli uchaguzi unakuwa huru na haki kwa nini mbashiri machafuko? CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
 
Sasa anaupiga Mwingi fujo zitatoka wapi? Si watu wanamwelewa au ?
 
Wewe wala hutaki hoja ni kutetea tu huyo mvaa hijab mwenzako kipibdi hiki.
Hata mama'ke Yesu sijawahi kumuona bila Hijab, wewe umewahi?

Hawa wanaumwa, kuwatengeneza jeshi la polisi liwe la kisasa ndiyo kufanya "uovu"?

Au waovu kwa kuwa waliwashika?
 
Mbatia kwanza aseme kwanini wamefukuza NCCR Mageuzi?
Suala la kufukuzwa NCCR Mageuzi siyo la Kitaifa, hili la pesa za kununua magari ya washawasha ni la Kitaifa, wakati mwingine upime uzito wa suala kabla hujaropoka.
 
Hata mama'ke Yesu sijawahi kumuona bila Hijab, wewe umewahi?


Hawa wanaumwa, kuwatengeneza jeshi la polisi liwe la kisasa ndiyo kufanya "uovu"?

Au waovu kwa kuwa waliwashika?
Umewahi kumwona mama yake YESU?? we na nduguyai walewale
 
Na wewe utuambie hapa kwanza, ni kwa nini wakati wa utawala wa Rais Magufuli, ulikuwa unapinga kila kitu humu jukwaani, ila kwenye awamu hii kila kitu unasifia.
Ni mdini na agenda zake zote ni udini tuu, usipokuwa dini yake wewe ni nusu binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…