Mbatia: Tusiwekeze fedha zetu 125 bilioni kwenye uovu

Sijui kwanini viongozi wanakosa 'uono' kwa kiasi hiki!
Anyway, huenda ndio njia rahisi ya kuzipiga kama zile za uniform za mapolisi.
 
Wapiga kura namba moja Tanzania waanza kujipanga😁😁😁
 
Hivi itakaa itokee hawa wafuasi wa ccm wakajitambua na kuwa na akili kweli!
Tuanze kufunga na kuwaombea ili wajitambue, ikishindikana "tuwasomee kisomo" watuachie nchi yetu tusonge mbele.
 
Siyo kununua vifaa ni kununua vitendea kazi. Vifaa inaweza kuwa mikanda, Buti n.k lakini vitendea ni tofauti kabisa
whatever, sasa polisi wanapiga kura? vitendea kazi vya kupiga kura kwa polisi ni nini? kama siyo mabomu ya kuumiza wapinzani... elewa udikiteia wa samia
 
A second wave of liberation strugle!
 
whatever, sasa polisi wanapiga kura? vitendea kazi vya kupiga kura kwa polisi ni nini? kama siyo mabomu ya kuumiza wapinzani... elewa udikiteia wa samia
Ccm huwaga hawajiamini hata kidogo linapofika suala la maamuzi ya kumtafuta mtawala ajaye.
 
Vipaumbele ni changamoto
 
Serikali imetenga fedha hizo kununua silaha kudhibiti lolote katika kipindi cha chaguzi zijazo . Hii ni sambamba na kumteua mchengelwa kwa vile ana kifua kitumike katika tamisemi chaguzi za mwaka kesho....
Yale yale ya Mwendazake.....this time watakodisha wa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…