Mbaya sana unamtongoza mdada anakujibu ana mtu!!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,625
Reaction score
89,385
Hili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...?

Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu hivihivi kimasihara, wadada wenye tabia hii badilikeni inakera...😎
 
D75A52D5-DB79-48A2-8C07-101D07D56039.jpeg
 
Hili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...?
Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu hivihivi kimasihara, wadada wenye tabia hii badilikeni inakera...😎
Mwambie utampenda yeye na huyo mtu wake, kwani wewe sio Mtu??
But kwa uzoefu wangu hili ni jibu elekezi(wamelikariri)
 
Mwambie utampenda yeye na huyo mtu wake, kwani wewe sio Mtu??
But kwa udhoefu wangu hili ni jibu elekezi(wamelikariri)
Wazee wa kuforce hua tunaruka hicho kiunzi sasa unajua akikuona king'ang'a anakufanyaje unaanza kupigwa bills mpaka bichwa liwake moto nakumbuka nilitumiwa lipa namba nikaambiwa nilipie menu wakati sijaagiza chakula nikamwambia alieagiza ndie anaetakiwa kulipia sio mimi mimi sijaagiza chochote piga sana simu nikala buyu sekunde 2 nyingi block zilitembea kote
 
Hili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...?
Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu hivihivi kimasihara, wadada wenye tabia hii badilikeni inakera...😎
ukweli una tabia ya kukera sana gentleman,

inauma but itakubidi uzoee tu 🤣
 
Back
Top Bottom