Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Chukulia hilo jibu kama block ya mkato.
Maana yake huyo mdada anakuwa hana mzuka na wewe kwa wakati huo.
Maana yake huyo mdada anakuwa hana mzuka na wewe kwa wakati huo.
Mwanaume hajawah kuwa Spare tyre.. point of correction.Hehe! Mkuu nyie ndio huwa mnatumika kama spare tire mi siwezi na huwa sinaga inshu zakishamba kusubiri foleni!, mimi akishajibu haiwezekani inatosha limtu limtu la kazi gani..?
Mh! Mbwembwe nyingi ndugu mi sijapenda jibu lake tu na sio chengine!Mwanaume hajawah kuwa Spare tyre.. point of correction.
Mbili.. tunarudi pale pale wewe lengo lako ni lipi? Kuwekeza aje awe Mke.. au unapiga unapita hivi ?
Kumbuka hujamkuta na Bikra huyo useme utapiga mwenyewe na kashakwambia ana mtu ww ya nini kuwekeza hisia hapo..? Mlainishe taratiib akiingia ktk mfumo butua pita hivi..