Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Mshahara wa dhambi ni mauti mheshimiwa!Unipe mshahara wa dhambi hela zako sina shida nazo.
Mshahara wa dhambi ni mauti mheshimiwa!Unipe mshahara wa dhambi hela zako sina shida nazo.
Em sema kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23]Hakunna jambo jepesi kama mwanamke akikuambia ana mtu, kifupi anakuwa kamachoka huyo mtu, ila anachotaka uingie vitani kumtoa huyo nduli, anakuwa hapo kama kakupa info kama CIA
Em msanue huyu komwee!!Hakuna mdada ambaye yupo single kosa Lako wewe ni kutongoza.
Tulishahama huko mkuu tatizo umekua mtoro sana kwenye vikao
Sijapendaa, "sio kivilee" [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa unataka akudanganye kuwa hana, wakati anae mkuu? [emoji16]
Sema wadada wengi ni waongo waongo, unamtongoza ana mme kabisa, unamuuliza umeolewa, anakwambia sio kiviiile...
Sijapendaa, "sio kivilee" [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu siku hizi wala huna haja ya kumfukuza mtu kwa kelele, kuna mbinu ninayo, huwa naipiga hiyo, ana amua yeye atembee au abakii.Mwambie mtu ukweli coca. [emoji16]
Afu siku hizi wala huna haja ya kumfukuza mtu kwa kelele, kuna mbinu ninayo, huwa naipiga hiyo, ana amua yeye atembee au abakii.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Achaa Rafiki, niliwahi kukutana na kaka m1 main campus pale, afu alikua anachukua Masters, Aloooh yule Kaka, mama ake alizaa bhanaaSi unakuwa hujamwelewa! [emoji16]
Mwanamke asipokuelewa anakufunyia mbinu za kimafia, akuelewe sasa, wala hakumbuki hizo mbinu! [emoji4]
Kuna ile unakutana na mwanamke kwa kukuona tuu anapata mchecheto mkali... [emoji16]
Achaa Rafiki, niliwahi kukutana na kaka m1 main campus pale, afu alikua anachukua Masters, Aloooh yule Kaka, mama ake alizaa bhanaa
Nilikua naenda zangu venue za masters ili nimuone, [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan yaan, au bas.
[emoji23][emoji23][emoji23] km kweliii, ila sio kivileee.Sasa je! Hizo mbinu zako za kimafia unazitumia pale ambapo hujamuelewa mwanaume, sasa unataka asiwepo, ila ukimuelewa hizo mbinu hutatumia. [emoji16]
Na ni mtu mjinga tuu, ndio anaweza endelea kumsumbua mwanamke wakati hana mwanamke huyo hana interest nae. [emoji16]
Mwambie unampenda yeye pamoja na huyo mtu wake.Hili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...?
Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu hivihivi kimasihara, wadada wenye tabia hii badilikeni inakera...😎
[emoji23][emoji23][emoji23] km kweliii, ila sio kivileee.
Utanihadithia atii.Ni kweli tupu! Naweza kukupa kisa.
HahahHili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...?
Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu hivihivi kimasihara, wadada wenye tabia hii badilikeni inakera...😎
Unapendelea jibu la haiwezekani et
Ndio jibu murua kwako😁
Sijui una kasilika nini kuambiwa kuna mtu ikiwa mtu yupo kweli
Wewe ingemuuliza ndio una mtu je kuna nafasi ya mtu mwingine niingie
Ajabu una chukia heheheh ooo mailodiii
Bado UNATONGOZA tu?Hili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...?
Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu hivihivi kimasihara, wadada wenye tabia hii badilikeni inakera...😎
Kama mzee Malundo si ni wa kumtukana kabisa.Wazee wasikuhizi hamna adabu...🤣