Mbaya sana unamtongoza mdada anakujibu ana mtu!!

Hili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...?

Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu hivihivi kimasihara, wadada wenye tabia hii badilikeni inakera...😎
Akikujibu ana mtu unamwambia hata mimi nina mtu wazazi hatunyimani😂😂
Uislam kupeana
 
Sipo kwa ajili ya kupooza watu mi sio kipozeo anyway nina mtu👌
Ona hili nalo yaleyale mi nimekuambia unafaa kunifuta machozi sijakuomba hicho unachofikiria!, hayo maswala ya una mtu sijakuuliza!!!!
 
Hili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...?

Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu hivihivi kimasihara, wadada wenye tabia hii badilikeni inakera...😎
1000411128.jpg
 
Back
Top Bottom