Siyo mimi mkuu😁. Nenda tena, kakujibu apime uwezo, ukirudi nyuma ataona we muoga huwezi kupambania penzi. We hujaonaga unang'oa demu hafu mchizi wake unamjua au kama huyo humjui ukimpata huyo mwanamke baadae ukimuuliza kwamba yeye haogopi kuanzisha uhusiano na wewe wkati anamtu mwingine tayari, Vipi jamaa mwenye demu akishtukia mchezo itakuwaje?! Yeye mwanamke lazima akurudishie swali wewe, utakuta anakuuliza kwani wewe unaogopa/unamuogopa??! Hapo mzee hata kama unahofu jua tu akiwa kwako ndo anajisikia salama kuliko kwa jamaa yake. Ila kama jamaa ni mbavu jibu tu naogopa..usijitutumue maana za mwizi ni 40😅😅