Hili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...?
Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu hivihivi kimasihara, wadada wenye tabia hii badilikeni inakera...😎
Aliyeegemea mtiHahaha aliepata ni yupi aliepiga goti au aliekaa na kuegemea mti?
Cha mtu huliwa na mtuUna hoja usikilizwe
Lakini kuna watu ukiwakataa bila kuwapa sababu ya kuwa na mtu wanaona kama una-play hard to get
Hehe! Mkuu nyie ndio huwa mnatumika kama spare tire mi siwezi na huwa sinaga inshu zakishamba kusubiri foleni!, mimi akishajibu haiwezekani inatosha limtu limtu la kazi gani..?Jibu zuri sana hilo...
Watu mnachezea bahati sana..
Mie hao ndio nawapenda kwasababu utaichapa kimasikhara any day, and no strings attached.
As long as amenipa access ya mawasiliano kaisha..
Mboni sijaona funguo hapo hahahaAliyeegemea mti
Ni mtelezo ila jiandae kuliwa kwanza utapigwa bills za gesi imeisha, kingambuzi kufanyaje, Internet imekuaje sijui kulipia kifurushi, umeme luku imeisha tuma hela, kodi mwezi huu imeisha mwenye nyumba sijui kafanyaje, Mama anaumwa amelazwa, michango wa harusi kitchen party sendoff, vicoba, dela kufanya nini, safari umpe hela ya marejesho, anataka shopping ya gharama, nk ukija kupiga hesabu km ni nyumba ungekua umeshafika kwenye renta na mkanda ushatembea na tofali zimebaki. Story imeishia hapo. Na hapo hujamvua chupi hata mara moja.Hehe! Mkuu nyie ndio huwa mnatumika kama spare tire mi siwezi na huwa sinaga inshu zakishamba kusubiri foleni!, mimi akishajibu haiwezekani inatosha limtu limtu la kazi gani..?
Hata hivyo kazi yenu huwa sio kutongoza ndio maana unaona jibu jepesi tu hilo!Unapendelea jibu la haiwezekani et
Ndio jibu murua kwako😁
Sijui una kasilika nini kuambiwa kuna mtu ikiwa mtu yupo kweli
Wewe ingemuuliza ndio una mtu je kuna nafasi ya mtu mwingine niingie
Ajabu una chukia heheheh ooo mailodiii
Sasa kwani ni lake?Mboni sijaona funguo hapo hahaha
Mambo kama haya yanawatokea nyinyi washamba a.k.a wachimba chumvi...Ni mtelezo ila jiandae kuliwa kwanza utapigwa bills za gesi imeisha, kingambuzi kufanyaje, Internet imekuaje sijui kulipia kifurushi, umeme luku imeisha tuma hela, kodi mwezi huu imeisha mwenye nyumba sijui kafanyaje, Mama anaumwa amelazwa, michango wa harusi kitchen party sendoff, vicoba, dela kufanya nini, safari umpe hela ya marejesho, anataka shopping ya gharama, nk ukija kupiga hesabu km ni nyumba ungekua umeshafika kwenye renta na mkanda ushatembea na tofali zimebaki. Story imeishia hapo. Na hapo hujamvua chupi hata mara moja.
Hahaha kumbe gari limesimama na mtu mwingine sio yeyeSasa kwani ni lake?
Kumbe hilo jibu linakera kwa kiwango hichoHata hivyo kazi yenu huwa sio kutongoza ndio maana unaona jibu jepesi tu hilo!
Kingambuzi ni nini?Ni mtelezo ila jiandae kuliwa kwanza utapigwa bills za gesi imeisha, kingambuzi kufanyaje, Internet imekuaje sijui kulipia kifurushi, umeme luku imeisha tuma hela, kodi mwezi huu imeisha mwenye nyumba sijui kafanyaje, Mama anaumwa amelazwa, michango wa harusi kitchen party sendoff, vicoba, dela kufanya nini, safari umpe hela ya marejesho, anataka shopping ya gharama, nk ukija kupiga hesabu km ni nyumba ungekua umeshafika kwenye renta na mkanda ushatembea na tofali zimebaki. Story imeishia hapo. Na hapo hujamvua chupi hata mara moja.
Ndio umekuja kulia umeambia ana mtu kwani wewe kima hujiulizi mara 3 amekuonaje wewe ngedere au sokwe?Mambo kama haya yanawatokea nyinyi washamba a.k.a wachimba chumvi...