Ndio😁Hahaha kumbe gari limesimama na mtu mwingine sio yeye
Ndio hicho hicho unacho hapo mbele ya TV yako kiwashe uoneKingambuzi ni nini?
Sina tv mkuuNdio hicho hicho unacho hapo mbele ya TV yako kiwashe uone
Angalia stock yako kama una wale mamanzi backup plan ya chap shtua moja usikae kinyonge.Na nimeianza vibaya...😅
Basi tumia ulichonacho kwenye hicho hicho halafu haya maswali yako chokozi nimeshakukatazaSina tv mkuu
Jibu hilo ni zuri sana kwa mwanamke😅 Kwanza Linaonesha uaminifu kwa unaemtongoza kwa kuweka sawa status ya hali ya uhusiano wake ingawa linaudhi sana kwetu cause mda mwingine unaweza kutajiwa hata jina na ukicheck mtu unaetajiwa kakuzidi parefu,inauma sana. Hili pia ni jibu la mkato kuepusha maswali mengi ambayo huwa yanakuja baada ya kujibiwa haiwezekani. Ujue hawa wanatongozwa kila siku so yawezekana anauzoefu anajua akijibu haiwezekani linaweza kuja swali la kwanini au unamtu/umeolewa??! kuepusha konakona basi unajibiwa sahizi nina mpenzi tayari sasa hapo kitakachoendelea ni uwezo wako wakushawishi kama unaweza kubadiri gia angani ili akufate wewe na kumuacha jamaa alienae.Wanasema Wanawake hawapendi, ni ushawishi wako tu mwenyewe..anaweza kukufata au asikufate kulingana na ulivyomshawishi wewe.😁Hili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...?
Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu hivihivi kimasihara, wadada wenye tabia hii badilikeni inakera...😎
Hakunna jambo jepesi kama mwanamke akikuambia ana mtu, kifupi anakuwa kamachoka huyo mtu, ila anachotaka uingie vitani kumtoa huyo nduli, anakuwa hapo kama kakupa info kama CIAHili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...?
Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu hivihivi kimasihara, wadada wenye tabia hii badilikeni inakera...😎
Basi yaishe!😊Basi tumia ulichonacho kwenye hicho hicho halafu haya maswali yako chokozi nimeshakukataza
Kaka yangu Mshana Jr atakuja kunitetea mimi sitii nenoMkuu unafikra za kichawichawi...
👋Jibu hilo ni zuri sana kwa mwanamke😅 Kwanza Linaonesha uaminifu kwa unaemtongoza kwa kuweka sawa status ya hali ya uhusiano wake ingawa linaudhi sana kwetu cause mda mwingine unaweza kutajiwa hata jina na ukicheck mtu unaetajiwa kakuzidi parefu,inauma sana. Hili pia ni jibu la mkato kuepusha maswali mengi ambayo huwa yanakuja baada ya kujibiwa haiwezekani. Ujue hawa wanatongozwa kila siku so yawezekana anauzoefu anajua akijibu haiwezekani linaweza kuja swali la kwanini au unamtu/umeolewa??! kuepusha konakona basi unajibiwa sahizi nina mpenzi tayari sasa hapo kitakachoendelea ni uwezo wako wakushawishi kama unaweza kubadiri gia angani ili akufate wewe na kumuacha jamaa alienae.Wanasema Wanawake hawapendi, ni ushawishi wako tu mwenyewe..anaweza kukufata au asikufate kulingana na ulivyomshawishi wewe.😁
Hahaha duuuh hayajaishaBasi yaishe!😊
Duh! Kwenda kuparamia jasho la mtu mzima nae haijakaa powa, hakikisha kwenye contact list yako hukosi wadada wawili watatu wa uhakika mambo yakienda mrama hao ni wala no danger no kuingia p simu moja tu huyu hapaKwenye list imebaki mishangazi...😅
Mkuu kwani we hauna dada huko unigaie..?Duh! Kwenda kuparamia jasho la mtu mzima nae haijakaa powa, hakikisha kwenye contact list yako hukosi wadada wawili watatu wa uhakika mambo yakienda mrama hao ni wala no danger no kuingia p simu moja tu huyu hapa
Duuuh basi tusubirie waje tuone unavyokaaHuyo vita nayeye tulishapigana kitambo sana na nikamshinda labda ita mchawi mwengine..