Hahaha PM zina siri nyingi aseeHili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...?
Kwani weekend imeanza huko?
Hapo kinaendelea nini mboni sijaelewa halafu huyo mboni hana wasiwasi au kakutana na shimo la Mungu?
Mwambie utampenda yeye na huyo mtu wake, kwani wewe sio Mtu??Hili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...?
Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu hivihivi kimasihara, wadada wenye tabia hii badilikeni inakera...😎
Hahaha duuuh hio mimoshi punguza
Binti Mshana ashaanza kukuharibu kwa hizi picha😂
Hiii ni maajabu!
Wazee wa kuforce hua tunaruka hicho kiunzi sasa unajua akikuona king'ang'a anakufanyaje unaanza kupigwa bills mpaka bichwa liwake moto nakumbuka nilitumiwa lipa namba nikaambiwa nilipie menu wakati sijaagiza chakula nikamwambia alieagiza ndie anaetakiwa kulipia sio mimi mimi sijaagiza chochote piga sana simu nikala buyu sekunde 2 nyingi block zilitembea koteMwambie utampenda yeye na huyo mtu wake, kwani wewe sio Mtu??
But kwa udhoefu wangu hili ni jibu elekezi(wamelikariri)
Kapata mwenye gari😆Hapo kinaendelea nini mboni sijaelewa halafu huyo mboni hana wasiwasi au kakutana na shimo la Mungu?
Ndio kwanza kumekucha😎Hahaha duuuh hio mimoshi punguza
ukweli una tabia ya kukera sana gentleman,Hili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...?
Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu hivihivi kimasihara, wadada wenye tabia hii badilikeni inakera...😎
Urithi wa baba😅Binti Mshana ashaanza kukuharibu kwa hizi picha😂
Hahaha aliepata ni yupi aliepiga goti au aliekaa na kuegemea mti?Kapata mwenye gari😆
Basi mpaka kukuche tena anza na moja ukisikia nyuma geuka usigeuke mbeleNdio kwanza kumekucha😎