Mbaya sana unamtongoza mdada anakujibu ana mtu!!


Una hoja usikilizwe
Lakini kuna watu ukiwakataa bila kuwapa sababu ya kuwa na mtu wanaona kama una-play hard to get
 
Jibu zuri sana hilo...

Watu mnachezea bahati sana..

Mie hao ndio nawapenda kwasababu utaichapa kimasikhara any day, and no strings attached.

As long as amenipa access ya mawasiliano kaisha..
Hehe! Mkuu nyie ndio huwa mnatumika kama spare tire mi siwezi na huwa sinaga inshu zakishamba kusubiri foleni!, mimi akishajibu haiwezekani inatosha limtu limtu la kazi gani..?
 
Hehe! Mkuu nyie ndio huwa mnatumika kama spare tire mi siwezi na huwa sinaga inshu zakishamba kusubiri foleni!, mimi akishajibu haiwezekani inatosha limtu limtu la kazi gani..?
Ni mtelezo ila jiandae kuliwa kwanza utapigwa bills za gesi imeisha, kingambuzi kufanyaje, Internet imekuaje sijui kulipia kifurushi, umeme luku imeisha tuma hela, kodi mwezi huu imeisha mwenye nyumba sijui kafanyaje, Mama anaumwa amelazwa, michango wa harusi kitchen party sendoff, vicoba, dela kufanya nini, safari umpe hela ya marejesho, anataka shopping ya gharama, nk ukija kupiga hesabu km ni nyumba ungekua umeshafika kwenye renta na mkanda ushatembea na tofali zimebaki. Story imeishia hapo. Na hapo hujamvua chupi hata mara moja.
 
Unapendelea jibu la haiwezekani et
Ndio jibu murua kwako😁

Sijui una kasilika nini kuambiwa kuna mtu ikiwa mtu yupo kweli

Wewe ingemuuliza ndio una mtu je kuna nafasi ya mtu mwingine niingie

Ajabu una chukia heheheh ooo mailodiii
Hata hivyo kazi yenu huwa sio kutongoza ndio maana unaona jibu jepesi tu hilo!
 
Mambo kama haya yanawatokea nyinyi washamba a.k.a wachimba chumvi...
 
Kingambuzi ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…