Mbaya sana unamtongoza mdada anakujibu ana mtu!!

Afu siku hizi wala huna haja ya kumfukuza mtu kwa kelele, kuna mbinu ninayo, huwa naipiga hiyo, ana amua yeye atembee au abakii.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuelezee hiyo mbinu
 
Em sema kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23]
😁 sasa kwani kuna mtu anataka ajue kuwa ana mtu, hiyo ni sawa unaenda kuiba unakuta mlinzi getini ila anakuambia ndani kuna watu ( anakupa fursa ya ujipange kimkamkati usubiri watoke au ukapige ambush )
 
Komwee hunaga bahatii, yaan kila ukigusa nehii, kaoge maji ya chumvi.
Poleee wee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati ninazo tena ninazo nyingi tu sema sipendi kushare bahati nashare zisizobahati...😁
 
Ana utoto, unalalamika nini hapo?? Huyo hajakukataa, anakupa taarifa ili uichape kwa password. Angekua hakutaki angekukataa tu na wala asinge mtaja huyo mjinga mwenzie
 
Ukweli humuweka mtu huru, kukwambia haiwezekani ni kukaribisha uwezekano maana waswahili husema Penye Nia Pana njia na unaweza kutengeneza njia pasipo na njia...
Mh! Kwani nani alikuambia kukuwa na mtu hakuwezekani kuwa na mtu...?
 
[emoji16] sasa kwani kuna mtu anataka ajue kuwa ana mtu, hiyo ni sawa unaenda kuiba unakuta mlinzi getini ila anakuambia ndani kuna watu ( anakupa fursa ya ujipange kimkamkati usubiri watoke au ukapige ambush )
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii.
 
Ndio njia yake ya kukwambia haiwezekani.
Dont take it personal, take it as ukweli and walk away

Wengine huwa wanafanya hivyo kukutest kama kweli unamaanisha (japokuwa ni koja ya njianza kitoto)
 
Utakua una matatizo, mwanamke akisema ana mtu kwenye mahusiano au kaolewa hilo ni jibu nzuri, ila akisema haiwezekani, hapo siachi kumtongoza, namfukuzia kila siku mpaka aachie
 
hapo challenge siyo ubabe wa kupiga watu kama ccm bali ni ku-fight na wewe uwe na wako na akukubali kiasi cha kuwaambia wanaomfwata fwata kwamba ana "mtu wake" i.e wewe, usiichukulie poa siyo rahisi kwa demu kukutaja wewe kwa watu kwamba ana mtu wake, ni lazima pia kazi kubwa ifanyike kwenye mahusiano ili aweze kukutaja mbele za watu kwamba ana "mtu wake", siyo kila mahali ukishindwa hoja basi wewe ni kupiga tu wengine haitatui tatizo, work on your self kwanza ...
 
Utakua una matatizo, mwanamke akisema ana mtu kwenye mahusiano au kaolewa hilo ni jibu nzuri, ila akisema haiwezekani, hapo siachi kumtongoza, namfukuzia kila siku mpaka aachie
Aisee..
 
mkuu unaonekana una mikosi na gundu sana na hawa viumbe. ogea chumvi, wanasemaga inasafisha mikosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…