King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ndiyo hayohayo badala ya kutoka kwa wingi, yanatoka kidogo mengine yaenda kuurutunisha mwili eti yakijiita na kujifanya mafuta.ππKwani ubonge wao unasababishwa na kuwa na mavi mengi tumboni?
Maugali yananenepesha sana wabongo halafu wanasingizia viti motoWabongo wanapenda sana kujaribu vitu bila kufuata ushauri wa wataalam ,unaweza ukadrive ukapoteza maji na ukagoshoa.
Dawa ya kupunguza mwili ni kuacha matumizi ya wanga/sukari na kufanya mazoezi tu....kwenda kufakamia hizo mbegu au kunywa mitishamba au detox unaweza ukaja kuua figo au kuvuta kamba au kung'ata shuka.
Kumbe yanageuka kuwa wese..!! Mavi hoyeee..!!Ndiyo hayahayo badala kwa wingi, yanatoka kidogo mengine yaenda kuurutunisha mwili eti yakijiita na kujifanya mafuta.ππ
Unaongea kwa uzoefu mkuu pole π€£Uharo wake ni kama maji tu yamefunguliwa koki ni mwendo wa π¨π¨π¦π¦π¦π¦π₯΅π₯΅π
Kusafisha tumbo mtumish ni dawa nzuri ila tumia kamoja tu au kipande kimojaBado sijaelewa, unameza mbegu hizo ukiwa na dhamira gani?
Kwa komenti za walio wengi, inaonekana wengi wameshatumia mbegu hizo.Ukitumia unahisi kabisa joto kuongezeka tumboni,...hizo mbegu ni hatari, na ninahisi kuna watu zimewauwa hizo mbegu,...
Ni kweli zinapigiwa promo sana huku mtaani, bei yake ni ndogo na watu wengi pia wana matatizo, hasa ya nayotajwa na hao wauzaji,...kihalisia hizo mbegu sio salama sana
Sio mnyonyo il zinafanana .Mnyonyo
Japo sijawahi Kutumia ila nasikia sio poa unaweza ukapigiwa niagieni
Hizo ch mtoto kuna mzee aliniuzia vimawe 3 vidogo kama vile tunavyochambua kwenye mchele kwa kweli hata job nilishindwa kwenda kwanza nilitoa mzigo wa ajabu tangu nazaliwa sijawao kitu cha rangi ile kimetoka tumbon mwabinadam.Mbegu mbili unaweza kuharisha mpaka ubongo ππ
View attachment 3159973
Wauzaji muwe mnasema kuwa tukimeza tusiende kazini
Zina faida Gani?Hizo Hazifai Maana Ukitafuna Tu Ukameza Koki Inafunguka Mpaka Unywe Chai Ya Rangi Ama Soda Baridi Sana
Tumia Glass 1 Ya Ukwaju Ama 2 Ni Nzuri Mno
DR Mambo JamboHivi, kwanini kuharisha kunachukuliwa kama ndo kusafisha tumbo?