steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Hakika mkuuSahihi kabisa. Vyombo vipo, aende huko kwanza. Ikishindikana huko ndiyo tutajua kweli katapeliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuuSahihi kabisa. Vyombo vipo, aende huko kwanza. Ikishindikana huko ndiyo tutajua kweli katapeliwa.
Kuna jamaa yangu alishinda kama 3,000,000 hajalipwa mpaka leo na mkeka wenyewe
Una uhakika hakufanya fraudulent ?Kuna jamaa yangu alishinda kama 3,000,000 hajalipwa mpaka leo na mkeka wenyewe wameshaufuta.
Umejichanganya mwenyewe mkuuWasafi bet nao wanakatabia kakubadilisha selection kama uliweka home win unaeza kuta wakakuekea away win baada ya kuona home amewin na umewapiga hela
Huwezi kuachwa kulipwa kizembe huyo jamaa itakuwa Kuna uhalifu amefanya Tena ushukuru Mungu maana anaweza kufunguliwa kesi kabisaAlichukua hatua gani? Najua T&C zao zinawapa uhuru mkubwa wa kuamua lolote muda wowote kuhusu beti yako ila ukiangalia kwa umakini kampuni zote zina hivyo vipengele. Ninachotaka kujua alichukua hatua gani?
In a it was Tanzania Gaming Board iko pale PostaUkiona wanazingua zaidi nenda kwa Mamlaka inayowasimamia ambayo nafikiri itakuwa ni ya Bahati nasibu
Ameandika barua kwenda kwenye mamlaka ya michezo ya kubahatisha na kupeleka ushahidi wa ushindi alio "screen shot". kwa ivo amechukua hatua. Na hata mimi namshauri mwisho wa siku aende mahakamani.why hakwenda mahakamani???
Wacha kidagaa kiendelee kukuozea mkuuUmejichanganya mwenyewe mkuu
Mbinu chafu za biashara. Kuna watu ukiwasoma vizuri unaona wana nongwa kisa M-BET wanaidhamini Simba wasiyoipenda.Mnaharibu biashara za watu hapa jukwaani, ninyi ni wafanyakazi moja ya kampuni za kubeti na M-bet ndiye mshindani wenu mkuu.
Afanye hivyo. Haki ya mtu haipotei bureAmeandika barua kwenda kwenye mamlaka ya michezo ya kubahatisha na kupeleka ushahidi wa ushindi alio "screen shot". kwa ivo amechukua hatua. Na hata mimi namshauri mwisho wa siku aende mahakamani.
Mimi si Mkamaria wala sina faida na kampuni yoyote ile ya kubeti. Ila habari niliyosema ni ya kweli kabisa.Mbinu chafu za biashara. Kuna watu ukiwasoma vizuri unaona wana nongwa kisa M-BET wanaidhamini Simba wasiyoipenda.
Hapana, sikuwa nakuongelea wewe. Uko clean mkuumimi si Mkamaria wala sina faida na kampuni yoyote ile ya kubeti. Ila habari niliyosema ni ya kweli kabisa.
So far i am Verified menber.
Ukibeti usiwe na matarajio makubwa sana , pia jua betting nikama starehe. Ikianza kubeti hovyo lazima upatwe na changamoto ya Afya ya akili Sasa ukipoteza utaanza kudhani wanakubadilishia matokeo. Mara zote tunakumbushwa kubeti kistaarabu.Wacha kidagaa kiendelee kukuozea mkuu
Kuidhamini Simba ni mtazamo wako umeona hivyo sikupingi japo mimi Yanga.Mbinu chafu za biashara. Kuna watu ukiwasoma vizuri unaona wana nongwa kisa M-BET wanaidhamini Simba wasiyoipenda.
Ukibeti usiwe na matarajio makubwa sana , pia jua betting nikama starehe. Ikianza kubeti hovyo lazima upatwe na changamoto ya Afya ya akili Sasa ukipoteza utaanza kudhani wanakubadilishia matokeo. Mara zote tunakumbushwa kubeti kistaarabu.
Basi itakuwa kidagaa kimeniozea ila nilichokisema ni ukweli na mkeka ulibadilishwaUkibeti usiwe na matarajio makubwa sana , pia jua betting nikama starehe. Ikianza kubeti hovyo lazima upatwe na changamoto ya Afya ya akili Sasa ukipoteza utaanza kudhani wanakubadilishia matokeo. Mara zote tunakumbushwa kubeti kistaarabu.
Ubadilishwe kwasababu gani? Wakati kwenye betting mmiliki Kushinda Ni 85% wewe Kushinda Ni 15% Yani betting akiliwa milioni 15 ujue yeye kala 85M kwa taarifa yako Ni hivi ulishinda mkeka Tena hela kubwa kampuni inafurahia maana nisehemu ya kujitangaza kibiashara😂Basi itakuwa kidagaa kimeniozea ila nilichokisema ni ukweli na mkeka ulibadilishwa