Mbet wamefilisika au wanataka kunitapeli?

Mbet wamefilisika au wanataka kunitapeli?

Kuna jamaa yangu alishinda kama 3,000,000 hajalipwa mpaka leo na mkeka wenyewe wameshaufuta.
Una uhakika hakufanya fraudulent ?

Kampuni ya kubeti Milion 3 nindogo Sana kwao hawawezi kufanya ujinga wakipoteza leseni ya Bilion kwa Milion 3. Either kwenye mkeka wake alichanganya fixed game au Kuna tatizo la mfumo. Hela wanazolipa au unazodepisit hazishikwu mkononi Ni mfumo kukiwa na tatizo nilazima usubiri wasolve. Ukiwa na uhakika Kama wamekudhukumu wasiliana au tuma malalamiko yako bodi ya michezo ya bahati nasibu Tanzania. NB. Hakuna kampuni ya betting halali inayoweza kukuibia 5000 Yani nisawa na wewe uone shilingi moja mahali uidokoe huku ukijua Ni adhabu kubwa itafuata
 
Alichukua hatua gani? Najua T&C zao zinawapa uhuru mkubwa wa kuamua lolote muda wowote kuhusu beti yako ila ukiangalia kwa umakini kampuni zote zina hivyo vipengele. Ninachotaka kujua alichukua hatua gani?
Huwezi kuachwa kulipwa kizembe huyo jamaa itakuwa Kuna uhalifu amefanya Tena ushukuru Mungu maana anaweza kufunguliwa kesi kabisa
 
Ukibeti usiwe na matarajio makubwa sana , pia jua betting nikama starehe. Ikianza kubeti hovyo lazima upatwe na changamoto ya Afya ya akili Sasa ukipoteza utaanza kudhani wanakubadilishia matokeo. Mara zote tunakumbushwa kubeti kistaarabu.

Basi itakuwa kidagaa kimeniozea ila nilichokisema ni ukweli na mkeka ulibadilishwa
 
Basi itakuwa kidagaa kimeniozea ila nilichokisema ni ukweli na mkeka ulibadilishwa
Ubadilishwe kwasababu gani? Wakati kwenye betting mmiliki Kushinda Ni 85% wewe Kushinda Ni 15% Yani betting akiliwa milioni 15 ujue yeye kala 85M kwa taarifa yako Ni hivi ulishinda mkeka Tena hela kubwa kampuni inafurahia maana nisehemu ya kujitangaza kibiashara😂
 
Back
Top Bottom