Mbet wamefilisika au wanataka kunitapeli?

Mbet wamefilisika au wanataka kunitapeli?

Ubadilishwe kwasababu gani? Wakati kwenye betting mmiliki Kushinda Ni 85% wewe Kushinda Ni 15% Yani betting akiliwa milioni 15 ujue yeye kala 85M kwa taarifa yako Ni hivi ulishinda mkeka Tena hela kubwa kampuni inafurahia maana nisehemu ya kujitangaza kibiashara😂
Hilo nafahamu
 
Nimekula mkeka toka juzi lakini wameshindwa kunilipa. Na kibaya zaid mkeka ulikuwa unasoma pending payment, na Jana mida ya mchana ticket ikasoma payed winner, na kwa uhalisia hawajanilipa nimewapigia kwenye simu wanasema kuna shida ya mfumo. Nal eo ndio hawapokei kabisa.
Ushaingia dathlam bro tulia🤣
 
Hamna kitu kama hicho hao m bet ni matapeli tu hamna Cha fixed mechi Wala nini
Hata wangekuwa katapeli bado hauna Cha kutapeliwa na betting company. Unajua Capital Yao au unafanya mchezo. Betting company Zina mtaji mrefu na wapo makini katika shughuli zao. Unajua jero yako inaweza kuwasababishia kufutiwa leseni? Sasa Kwanini wakubali kufutiwa leseni ya mamilion kwasababu ya 500? lazima kunasehem ulizingua au kunatatizo la mtandao
 
1.Wasiliana nao wakuambie tatizo ninini? Tumia live chat, e-mail au namba ya simu, au fika ofisini kwao
2. Soma vigezo na masharti

3. Ukiwa na uhakika, narudia ukiwa na uhakika kuwa wamekutapeli wasilisha malalamiko yako mtandaoni katika tovuti ya bodi ya michezo ya bahati nasibu, Kama huna uhakika unaweza kunitengenezea matatizo bure
 
Hata wangekuwa katapeli bado hauna Cha kutapeliwa na betting company. Unajua Capital Yao au unafanya mchezo. Betting company Zina mtaji mrefu na wapo makini katika shughuli zao. Unajua jero yako inaweza kuwasababishia kufutiwa leseni? Sasa Kwanini wakubali kufutiwa leseni ya mamilion kwasababu ya 500? lazima kunasehem ulizingua au kunatatizo la mtandao
Wewe itakua chawa wa hiyo kampuni ya kimasikini ya m bet
 
Back
Top Bottom