Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Zaidi ya kuwasilisha malalamiko kwenye bodi ya michezo ya kubahatisha mkamaria afanye nini tena!?Kutapeliwa na kampuni ya kubeti ambayo imesajiliwa nchini ni uzembe wa mbetiji..ukifuatilia wanakulipa vizuri tu