Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Kwa picha za marudio inaonesha kuwa kagere hakuwa offside, ila bocco Ndio alikuwa offside, hivo naimani mwamuzi msaidizi alinyoosha kibendera kwakuwa bocco alidhamiria kuucheza mpira na Kufanya iwe offside
Okay!! Kwa mtazamo wako wewe Kwa nafsi yako,, unaitazamaje??
 
Umeshapapaswa kaa utulie na upooze machungu ndugu ya nini kuongea Sana
 
Wajuvi wa soka mkaribie hapa,, kujibu swali tajwa hapo juu, maana imekuwa gumzo Sasa!!
Lile goli lilikuwa sahihi kabisa! Refa katuua mkuu! We mwache tu, tutakata rufaa ili hii mechi irudiwe kwenye dimba la Mkapa [emoji3062]
 
Ooo sisi kocha wetu anatoka real madrid. Kweliii yani mtu atoke real madrid ya perez aje aifundishe makolo fc? Tumepigwaaa hakuna kocha pale amekuja kutafuta maisha tu huyu muhuni wa madrid
 
Acha nikupe update sasa
Sasa ni dakika ya 700 chama cha saccos amepindua meza kibabe what a comeback..!
Kumbe nawe ni mcheshi hivyo?

Kupitia simba kupoteza hii mechi naanza kubaini baadhi ya tabia ambazo mwanzo ilikuwa ngumu kuzijua
 
haya ni matokeo ya kocha. kapanga mfumo wa kijinga akijilinda. halafu alikubalije dirisha dogo kufungwa bila kusajili striker wakati ni tatizo lolionekana mapema?
R.I.P HANSPOPE

APPROACH YENU ILIKUWA TU NI KUMSAJILI CHAMA TU ILI KUIKOMESHA YANGA MKAJISAHAU SEHEMU ZINGINE...POLENI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…