Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Wametolewa wenge walijua hii bado ni mapinduzi cup wakasahau kuwa hii ni ligi bingwa anasepa na 500ml. Ivyo ni mguu wa roho ni mguu wa shingo akuna kuremba kazi uwanjani maneno matupu ayavunji mfupa
 
haya ni matokeo ya kocha. kapanga mfumo wa kijinga akijilinda. halafu alikubalije dirisha dogo kufungwa bila kusajili striker wakati ni tatizo lolionekana mapema?
Kwani kocha ndiye anayesajili Simba? au hukumsikia Magoli alisema nini?
 
Scars wanipa wasiwasi ujue. wera a yuu.

Njoo ujibu hoja hebu. [emoji1787][emoji1787]
Amenambia anasubiri kipindi cha tatu...[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]

Pape ozimani sako atasawazisha
 
Aaahh waapi usijifariji
Nisijifariji nini sasa au unadhani shabiki wa Simba ni wewe tu humu? Toa ushabiki ongea ukweli, kwa jinsi LIGI ilivyo ngumu msimu huu hatukutakiwa kukaa nyuma ya Yanga kwa point 5.

Hâta hizo point tano zanaweza kuongezeka kutaokana na uchezaji wetu wa viporo.

Psychologically timu haitakuwa sawa kimorali.
 
Vile Mbeya City wameondoka uwanjani leo👇😄😄😄
AAP5rQ.jpg
 
Halafu utaskia kolo mmoja aliyeshiba kisamvu kilichochacha anataka kufananisha yanga ni hili genge la wahuni na wapiga debe lililojigeuza eti Team..
 
MUGALU ili afunge goli 1 tu anahitaji clear chances zaidi ya 30.

BOCCO anahitaji Clear chances 20 kufunga kufunga goli 1 .
 
Nisijifariji nini sasa au unadhani shabiki wa Simba ni wewe tu humu? Toa ushabiki ongea ukweli, kwa jinsi LIGI ilivyo ngumu msimu huu hatukutakiwa kukaa nyuma ya Yanga kwa point 5.

Hâta hizo point tano zanaweza kuongezeka kutaokana na uchezaji wetu wa viporo.

Psychologically timu haitakuwa sawa kimorali.
Unaongea ukweli ambao mashabiki wenzako hawapendi kabisa kusikia.. Pia kumbuka msimu kuna timu 16 tu..
 
Back
Top Bottom