Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Kumbe nawe ni mcheshi hivyo?

Kupitia simba kupoteza hii mechi naanza kubaini baadhi ya tabia ambazo mwanzo ilikuwa ngumu kuzijua
Tatizo bosI mo Safari hakuweka mpunga mwingi vinginvyo refa angetoa penalty tatu.
Tuhonge mechi ijayo

Simba nguvu Moko..
 
sijaelewa msingi wa swali lako. ndio shida ya kurukia vitu bila kuelewa hoja. mimi nazungumzia shida ya striker wewe unarukia Chama. ni punguani pekee ndiyo hawezi kuona umuhimu wa kumsajili Chama
Mkuu hili suala la kukosa penati inabidi litafutiwe ufumbuzi lisije kutugharimu huko shirikisho.
 
@Tate Mkuu Leo unafuraha sana
Poleni sana watani. Leo ilikuwa ni siku ya kufa nyani! Haiwezekani mkose penati, lakini pia kushindwa kuifunga timu yenye wachezaji pungufu kwa zaidi ya dakika 50!
 
Kumbe nawe ni mcheshi hivyo?

Kupitia simba kupoteza hii mechi naanza kubaini baadhi ya tabia ambazo mwanzo ilikuwa ngumu kuzijua
Tatizo bosI mo Safari hakuweka mpunga mwingi vinginvyo refa angetoa penalty tatu.
Tuhonge mechi ijayo

Simba nguvu Moko..
 
Kama Simba wakiendelea kumwingiza Bocco tutamwondoa sisi. Hana kiwango bado wanang'ang'ana kumwingiza.

Alishindwa kumalizia mpira wa penati tukakosa goli la kusawazisha,goli la pili mpira ulikuwa wa Kagere naye anasubira tu ikawa offside ,tumekosa magoli mawili kwa ajili yake
 
Mkuu hili suala la kukosa penati inabidi litafutiwe ufumbuzi lisije kutugharimu huko shirikisho.
kwa timu iliyopo hakuna ufumbuzi. kwa sababu zimetolewa nyingi lakini ni moja tu aliyofunga Kagere juzi. upigaji penati ni uwezo wa asili,kufundishwa inachangia kidogo sana
 
Simba tumeonewa sana, hata ile penat aliyokosa Mugalu ilitakiwa irudiwe kwa maana alipiga kabla ya filimbi ya refarii
 
Kasababisha offside,goli la kagere likakataliwa!Pia alikosa goal la wazi baada ya Mugalu kukosa penalti,badala ya kushuti yeye akatuliza mpira,control ikawa chumba na sebule,kipa akauchukua kiulaini!
Bocco anaigharimu timu sana!
Mzee Bocco kachoka, uwa Boss Mo anamsalimia Bocco SHIKAMOO!
 
Numepata mashaka sana na huyu kocha ,Mchezaji hatari kwa sasa kwenye kikosi cha Simba ni SAKHO unamuweka Benchi kwanini?

Pablo naweza kumuita ni MPUMBAVU tu ndio alikuwa Real Madrid huyu kilaza sijui aalikuwa anajifunza nini kwa Zidane.
 
Kama Simba wakiendelea kumwingiza Bocco tutamwondoa sisi. Hana kiwango bado wanang'ang'ana kumwingiza.

Alishindwa kumalizia mpira wa penati tukakosa goli la kusawazisha,goli la pili mpira ulikuwa wa Kagere naye anasubira tu ikawa offside ,tumekosa magoli mawili kwa ajili yake
Daaah ila bocco ni jipu, sijaangalia mpira wala kusikiliza ila kia mwana lawama kapeleka huko
 
Kwa picha za marudio inaonesha kuwa kagere hakuwa offside, ila bocco Ndio alikuwa offside, hivo naimani mwamuzi msaidizi alinyoosha kibendera kwakuwa bocco alidhamiria kuucheza mpira na Kufanya iwe offside
.... Kwa hiyo andiko lako hili linaweza kubadili matokeo yakasomeka Mbeya City 1 na Simba 1. Nauliza tu.
 
Nisijifariji nini sasa au unadhani shabiki wa Simba ni wewe tu humu? Toa ushabiki ongea ukweli, kwa jinsi LIGI ilivyo ngumu msimu huu hatukutakiwa kukaa nyuma ya Yanga kwa point 5...
😀😀
 
Siku zote kwenye mchezo mgumu timu itakayopata red card mapema ni kawaida wachezaji walioathiriwa na adhabu huwa wanaingiwa na nguvu fulani za ziada,nguvu za kupambana,ni nguvu za kiroho hasa za kupambana ..yaanini Jihad...

Hicho ndio kilichotokea leo kwa timu ya Mbeya city baada ya mchezaji wao mmoja kutolewa kipindi cha kwanza tu cha mchezo

Simba waliamini kuwa walikua wanaenda shinda mchezo lakini badala yake mbeya city wakapambana kwa jasho na damu,wakabakia golini kwao kuweka ulinzi,wakapunguza washambuliaji mbele na kupunguza mashambulizi....zaidi wakajikita kwenye ulinzi..na mbinu za kimkakati. Hali hiyo iliwavuruga simba na kuzidi kuchanganyikiwa na zaidi hasa pale walipokosa mkwaju wa penati.

Hongera sana kwa mbeya city kwa kuchangamsha mchezo lakini kadi nyekundu ni dhahir imewasaidia.
 
Back
Top Bottom