Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Tatizo bosI mo Safari hakuweka mpunga mwingi vinginvyo refa angetoa penalty tatu.Kumbe nawe ni mcheshi hivyo?
Kupitia simba kupoteza hii mechi naanza kubaini baadhi ya tabia ambazo mwanzo ilikuwa ngumu kuzijua
Mkuu hili suala la kukosa penati inabidi litafutiwe ufumbuzi lisije kutugharimu huko shirikisho.sijaelewa msingi wa swali lako. ndio shida ya kurukia vitu bila kuelewa hoja. mimi nazungumzia shida ya striker wewe unarukia Chama. ni punguani pekee ndiyo hawezi kuona umuhimu wa kumsajili Chama
Poleni sana watani. Leo ilikuwa ni siku ya kufa nyani! Haiwezekani mkose penati, lakini pia kushindwa kuifunga timu yenye wachezaji pungufu kwa zaidi ya dakika 50!@Tate Mkuu Leo unafuraha sana
Tatizo bosI mo Safari hakuweka mpunga mwingi vinginvyo refa angetoa penalty tatu.Kumbe nawe ni mcheshi hivyo?
Kupitia simba kupoteza hii mechi naanza kubaini baadhi ya tabia ambazo mwanzo ilikuwa ngumu kuzijua
kwa timu iliyopo hakuna ufumbuzi. kwa sababu zimetolewa nyingi lakini ni moja tu aliyofunga Kagere juzi. upigaji penati ni uwezo wa asili,kufundishwa inachangia kidogo sanaMkuu hili suala la kukosa penati inabidi litafutiwe ufumbuzi lisije kutugharimu huko shirikisho.
Mi shabiki yakeMayele ni mchezaji wa hovyo sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee Bocco kachoka, uwa Boss Mo anamsalimia Bocco SHIKAMOO!Kasababisha offside,goli la kagere likakataliwa!Pia alikosa goal la wazi baada ya Mugalu kukosa penalti,badala ya kushuti yeye akatuliza mpira,control ikawa chumba na sebule,kipa akauchukua kiulaini!
Bocco anaigharimu timu sana!
Daaah ila bocco ni jipu, sijaangalia mpira wala kusikiliza ila kia mwana lawama kapeleka hukoKama Simba wakiendelea kumwingiza Bocco tutamwondoa sisi. Hana kiwango bado wanang'ang'ana kumwingiza.
Alishindwa kumalizia mpira wa penati tukakosa goli la kusawazisha,goli la pili mpira ulikuwa wa Kagere naye anasubira tu ikawa offside ,tumekosa magoli mawili kwa ajili yake
.... Kwa hiyo andiko lako hili linaweza kubadili matokeo yakasomeka Mbeya City 1 na Simba 1. Nauliza tu.Kwa picha za marudio inaonesha kuwa kagere hakuwa offside, ila bocco Ndio alikuwa offside, hivo naimani mwamuzi msaidizi alinyoosha kibendera kwakuwa bocco alidhamiria kuucheza mpira na Kufanya iwe offside
😀😀Nisijifariji nini sasa au unadhani shabiki wa Simba ni wewe tu humu? Toa ushabiki ongea ukweli, kwa jinsi LIGI ilivyo ngumu msimu huu hatukutakiwa kukaa nyuma ya Yanga kwa point 5...
pole pole jamani...kufungwa kwenye mpira sio kufungwa gerezani,makasiriko ya nini?huyo genta mume wako au?
Naona mkeka wako umechanika mkuu.Mkuu Bado Upo?
Hatuachi kitu msimu huuInabidi nicheke tu, mapinduzi siyo Bonanza tena bali ubingwa?