Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Hiki kikosi, mpaka Half Time, Simba itakuwa nyuma kwa Goli 2. Subiri uone.
Ni kitu ambacho hâta wewe unajua hakiwezekani.

Unachokitaka, kutokea kwake ni sawa na tukio la kupatwa kwa jua au mwezi.
 
Simba akishinda leo naweka hapa, PICHA YANGU, KITAMBULISHO CHA KAZI, MAJINA KAMILI NA FAMILIA YANGU. Najua mtakuwa na MSHANGAO sana kwa kutoamini kuwa huyu mtu msumbufu humu ndani ndio huyu.
Kushinda tunashinda na hivyo vitambulisho vyako kaa navyo tu wala hatuhitaji kukujua wewe ni nani humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…