Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mbeya City 1 - 0 Wamatopeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamatopeni ndiyo kina nani?Mbeya City 1 - 0 Wamatopeni
Bado Moja La Mbeya City [emoji23][emoji23][emoji23]Haya Moja tayari hilo
Msikimbie tu lakini hadi dk 90 ziishe hapaWana Yanga wenzangu mko wapi?
cheza mpira acha visingizioHapa uwanjani mabonde mengi, mpira haunyooki kabisa.
Waliowekwa kimoja hadi sasa na Mbeya City.Wamatopeni ndiyo kina nani?
Kwani Chama hayupo?Haya Moja tayari hilo
Sawa bwana dem wa Jf.Kolo kashawekwa[emoji533][emoji533][emoji533] huko....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa mtatukimbia nyie Mbeya City tupo hadi mwisho hapa.Msikikbie tu lakini hadi dk 90 ziishe hapa
🤣🤣 Ngoja tuone kama ni kweliBado Moja La Mbeya City [emoji23][emoji23][emoji23]
Simba hatuwezi kimbia mbeya city ata siku Moja weweWakati uzi unaanza Simba walikuwa wengi sana.....
Saivi wamebaki gongowazi