Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwaone sasa hivi kama wana ubavu. 💃Goli likirudi utawaona
Simalizi maneno nawakumbusha tu kuwa na leo muwepo ili hata likikombolewa muwe na nguvu ya kuandika. 🤣🤣Usimalize maneno weka akiba na kesho ohoo🤣
Mbona mapema sanaMbeya City hawataki tena kucheza mpira, ni mwendo wakutoa tu mpira nje.
Nawashauri waendelee kufanya hivyohovyo ili tuwatoe simba sc kwenye mbio za ubingwa.
Kabisaa.Tutaheshiamiana mwaka huu
Hawa Mbeya City ndio walikuwa wanamtafuta huyo huyo Verane.Kwani beki bora Verane leo hayupo hadi hao wanapata goli?
Ngoja goli lirudiTuwaone sasa hivi kama wana ubavu. 💃
Kama mlivyojua kujazana jana na nyie jana. 😅Nilijua tu kama mtajazana hapa 🤣 Sasa mtulie hivo hivo
Hapa hakimbii mtu sisi ndio baba Sako hapa hatuwezi ogopa kutanguliwa na watu kama Hawa 🤣Simalizi maneno nawakumbusha tu kuwa na leo muwepo ili hata likikombolewa muwe na nguvu ya kuandika. 🤣🤣
Selection ya kikosi ilinitia wasiwasi sana leoJamani hawa Mbeya City wametuzidi mno naona wataongeza goal jingine.
Hahahaaa. Aje kwa kweli.Mechi bado sana bado kuna matokea matatu yanaweza tokea kwa dakika zilizobaki. Natamani yule refa aliyechezesha mechi ya Mali na Tunisia aje na huku aivunje ile rekodi yake aliyejiwekea
Bora maana bila kadi nyekundu tusingeweza kuwafunga hawa Mbeya City.Oohooo mpoki umeme nilijua tu huyu Leo haponi huyu
Kubebwa kivip au unaleta mambo yakitopolo.Naona Tumeanza Kubebwa