Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Sasa pale ulitaka iweje mtu alikuwa na njano sa na Ile faulo aliyo cheza ulitegemea nini kama si umeme.Naona Tumeanza Kubebwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa pale ulitaka iweje mtu alikuwa na njano sa na Ile faulo aliyo cheza ulitegemea nini kama si umeme.Naona Tumeanza Kubebwa
Wewe jamaa ni mnafkiHakukuwa na ulazima wa huyo beki kucheza ile faulo maana Kapombe hakuwa na madhara pale haswa ukizingatia alikuwa tayari na kadi ya njano.
Anyway hawa Simba Sc bado hawatatoka hapa Mbeya .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe jamaa ni mnafki
FT itakuwa Mbeya City 2 - 1 Simba SC.Selection ya kikosi ilinitia wasiwasi sana leo
Mkuu, kwanini mimi ni mnafiki?Wewe jamaa ni mnafki
🤣🤣 Naona unaanza kujihami eeh tulia Ivo Ivo acha visingizio.Bora maana bila kadi nyekundu tusingeweza kuwafunga hawa Mbeya City.
Maana Mbeya City Ni Hatari Hawa Jamaa.
Tusubiri kumalizia kipindi cha pili wakufa ni wakufa tu.
Hata kama ni mnafiki haiondoi ukweli kwamba beki ni mjinga.Wewe jamaa ni mnafki
Tangu lini utopolo de la vyura wakajuaga mpira mkuu
Hao jamaa wakibaki 10 uwanjani huwa wanakuja kama nyuki.[emoji23]Sasa pale ulitaka iweje mtu alikuwa na njano sa na Ile faulo aliyo cheza ulitegemea nini kama si umeme.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Naona unaanza kujihami eeh tulia Ivo Ivo acha visingizio.