Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Ngoja kwanza nitazame pira penaiti ntarudi baadae...
Mayeleeeeee
 
Hivi wana Simba wenzangu kwanini wapinzani wetu mara nyingi wanadhoofishwa kwa kadi nyekundu au sisi kupewa penati? Nimefatilia toka kuanza kwa ligi paka leo karibu mechi zote lazima mpinzani wetu alimwe red card au tunapewa penati.. hii imekaaje wanasimba wenzangu
Kwanini wanacheza rafu sana ?
 
Mungu awape nini tena haya wapo 11,ingekuwa Yanga tungewasikia "GSM hao....... washafanya yao.......",leo ndio mnajua kadi nyekundu ni sehemu ya mchezo .

Haya kazeni viuno na mpira ukiisha na matokeo yakibaki hivyo tutawasikia "GSM wamewapa hela Mbeya City wakaze.........".
 
Back
Top Bottom