Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kiukweli ndugu mwenzangu wa simba hata mimi nimechoka kushuhudia Team yangu pendwa simba ikipata ushindi wa mazabe yaani mpka mashabiki tunaona aibu kila mechi ni Red au penalty..Hivi wana Simba wenzangu kwanini wapinzani wetu mara nyingi wanadhoofishwa kwa kadi nyekundu au sisi kupewa penati? Nimefatilia toka kuanza kwa ligi paka leo karibu mechi zote lazima mpinzani wetu alimwe red card au tunapewa penati.. hii imekaaje wanasimba wenzangu