mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Hapo kwa John Bocco hata usimlaumu Bocco, lawama zote ziende kwa kocha, anawezaje kumpanga mtu asiyeweza hata kutuliza mpira na kutoa pasi kwa wenzake??? Yaani huyu bocco kwa kiwango chake cha sasa hata ligi daraja la tatu hacheziSawa mmekosa penalty Ila BOCCO mmuangalie kwa jicho la pili, mpira umemurudi kaishia kutetemeka tu.
Haya sasahivi kasababisha faulo ya kijinga kabisa.