Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Hivi wana Simba wenzangu kwanini wapinzani wetu mara nyingi wanadhoofishwa kwa kadi nyekundu au sisi kupewa penati? Nimefatilia toka kuanza kwa ligi paka leo karibu mechi zote lazima mpinzani wetu alimwe red card au tunapewa penati.. hii imekaaje wanasimba wenzangu
Kiukweli ndugu mwenzangu wa simba hata mimi nimechoka kushuhudia Team yangu pendwa simba ikipata ushindi wa mazabe yaani mpka mashabiki tunaona aibu kila mechi ni Red au penalty..
 
Makolo hawabebeki...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sawa mmekosa penalty Ila BOCCO mmuangalie kwa jicho la pili, mpira umemurudi kaishia kutetemeka tu.

Haya sasahivi kasababisha faulo ya kijinga kabisa.
 
Karibu mechi za timu zote huwa tunaona rafu za aina iyo ila ni kwa Simba pekee ndio huwa tunakuwa wanufaika wakubwa wa hizi penati na red card. Si umeona tayari tumepewa penati
Kwahiyo wewe ungekua refa usingekua unatoa adhabu kwa makosa yanayofanywa na wachezaji.Kuna makosa ya kawaida yanayoonekana kwamacho ya mtu yoyote sasa labda utuambie wewe ni kosa gani lililohukumiwa isivyo stahili ili tujiridhishe kua simba inanufaika zaidi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sawa mmekosa penalty Ila BOCCO mmuangalie kwa jicho la pili, mpira umemurudi kaishia kutetemeka tu.

Haya sasahivi kasababisha faulo ya kijinga kabisa.
Kumbe ule mpira ulimrudia Boko[emoji15][emoji15][emoji15]...jamaa km kweli anaipenda Simba ajiondoe kwenye timu aisee
 
Back
Top Bottom