Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Dah...Mbeya City Wajanja Sana....Wameona Bora bao Lao la Kufutia Machozi Waliweke Kibindoni Kbs....! Kwa kuwa hakuna namna ya Wao kuendelea Ku contain pressure Ya Mnyama mpaka Mwisho.
 
Chama is Back, Tiple C is Back.

Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana Simba Sc ni Jambo La kusubiri.

Baada ya kutwaa ubingwa wa mapinduzi Mnyama, Simba SC anarejea katika ligi kuu ambapo saa 10:00 jioni, atakuwa ugenini jijini Mbeya kumenyana na
Mbeya City.

Je, Mbeya City atamsimamisha mnyama ama mnyama kuchukua alama zote tatu?

Shughuli nzima itakuwa LIVE hapa JF.
We mbuzi weka update mamaeee
 
Hakukuwa na ulazima wa huyo beki kucheza ile faulo maana Kapombe hakuwa na madhara pale haswa ukizingatia alikuwa tayari na kadi ya njano.


Anyway hawa Simba Sc bado hawatatoka hapa Mbeya .
yaani yule ndo aliyepewa majukumu ya kuiokoa Simba leo ***** zake sijui kapewa sh ngapi pia naona kabisa kuna wachezaji wa Mbeya wanatafuta mwanya wa kuisaidia Simba bado wanacheza mpira wa vurugu ili tu wapate red kadi [emoji2959][emoji2959]
 
Hivi wana Simba wenzangu kwanini wapinzani wetu mara nyingi wanadhoofishwa kwa kadi nyekundu au sisi kupewa penati? Nimefatilia toka kuanza kwa ligi paka leo karibu mechi zote lazima mpinzani wetu alimwe red card au tunapewa penati.. hii imekaaje wanasimba wenzangu
 
Aliyepanga hiki kikosi cha Simba anajua kweli timu za Mbeya zikicheza na Simba? Bernard Morrison hawezi kuwa chaguo la kuanza hata siku moja. Ana upuuzi flani hivi. Ataigharimu timu
Kwanza mzamoru sikuhizi kukaba hakabi vizuri!
Lakini bado sijaelewa kwa nini kocha kawaanzisha wote wa 3
 
Back
Top Bottom